عن جابر رضي الله عنه قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم من قال حين يسمع النداء اللهم رب هذه الدعوة التامة والصلاة القائمة آت محمدا الوسيلة والفضيلة وابعثه مقاما محمودا الذي وعدته حلت له شفاعتي يوم القيامة (صحيح البخاري، الرقم: 614 ،وأما زيادة إنك لا تخلف الميعاد فقد …
Soma Zaidi »Kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu alaihi wasallam) baada ya kusikia adhaan
عن عبد الله بن عمرو بن العاص رضي الله عنهما أنه سمع النبي صلى الله عليه وسلم يقول إذا سمعتم المؤذن فقولوا مثل ما يقول ثم صلوا علي فإنه من صلى علي صلاة صلى الله عليه بها عشرا ثم سلوا الله لي الوسيلة فإنها منزلة في الجنة لا تنبغي إلا …
Soma Zaidi »Chanzo cha nuru siku ya Qiyaama
عن ابن عمر رضي الله عنهما قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم زينوا مجالسكم بالصلاة علي فإن صلاتكم علي نور لكم يوم القيامة (الفردوس بمأثور الخطاب، الرقم: ٣٣٣٠، وإسناده ضعيف كما في القول البديع صـ ٢٧٨) Ibnu umar (radhiyallahu anhuma) ameripoti kwamba Nabii wa allah (sallallahu alaih wasallam) …
Soma Zaidi »Kuitikia Iqaamah
Itikia iqaamah kama vile unavyo itikiaa adhaan. Kwa hiyo, wakati wa kuitikia قَدْ قَامَتِ الصَّلاَهْ (qad qaamatiss alaah) basi sema:[1] أَقَامَهَا اللهُ وَأَدَامَهَا وَجَعَلَنِيْ مِنْ صَالِحِيْ أَهْلِهَا Allah subhaana wata’ala aiweke (Swalaah) na aihifadhi na anijaalie niwe miongoni mwa waja wema wanao simamisha swalaah. عن أبي أمامة أو بعض أصحاب …
Soma Zaidi »Kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu alaihi wasallam) ukiwa kwenye Mkusanyiko.
عن ابن عمر رضي الله عنهما قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم زينوا مجالسكم بالصلاة علي فإن صلاتكم علي نور لكم يوم القيامة (الفردوس بمأثور الخطاب، الرقم: ٣٣٣٠، وإسناده ضعيف كما في القول البديع صـ 278) Abdullah Bin Umar (radhiyallahu ‘anhuma) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alisema: …
Soma Zaidi »Maneno ya Iqaamah na Njia ya Sunnah ya kutoa Iqaamah
6. Geuza uso wako kulia unaposema حي على الصلاة (hayya ‘alas swalaah) na kushoto wakati wa kusema حي على الفلاح (hayya ‘alal falaah).[1] 7. Mara iqaamah inapotolewa kwa ajili ya Swalah, usishughulike katika kuswali swalah ya sunnah. Badala yake, mara moja jiunge na swalaah ya fardh. Baada ya swalah ya …
Soma Zaidi »Miaka Thamanini ya Kusamehewa madhambi, na Miaka Thamanini ya Ibaadah Inarikodiwa kwa kumswalia Nabii wa Allah Mara Thamanini kwenye siku ya Ijumaa
وعن سهل بن عبد الله قال من قال في يوم الجمعة بعد العصر اللهم صل على محمد النبي الأمي وعلى إله وسلم ثمانين مرة غفرت له ذنوب ثمانين عاماً أخرجه ابن بشكوال وقد تقدم قريباً في حديث أبي هريرة معناه (القول البديع صـ 400) Imepokelewa na Sahl bin Abdullah (radhiyallahu …
Soma Zaidi »Maneno ya Iqaamah na Njia ya Sunnah ya kutoa Iqaamah
3. Toweni iqaamah kwa hadr (isome kwa haraka namna).[1] عن جابر رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال لبلال إذا أذنت فترسل وإذا أقمت فاحدر (سنن الترمذي، الرقم: 195)[2] Sayyidina Jaabir (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alimuhutubia Sayyiduna Bilaal (radhiyallahu ‘anhu) kwa …
Soma Zaidi »Tafseer ya surah ‘Alaq
Soma kwa jina la mola wako ambaye ameumba (kila kitu). Amemuumba mwanadamu kwa pande la damu. Soma, na mola wako ni Mwingi wa Rehema. Ambaye amemfundisha (mwanadamu) kwa njia ya kalamu. Alimfundisha mwanadamu asiyoyajua. Kwa hakika, mwanadamu amekiuka mipaka yote, kwa sababu anajiona kuwa yuko huru. Hakika marejeo ni kwa Mola wako. Je, umemuona (Abu Jahl) ambaye anamsmamisha, mja (Muhammad (Sallallahu 'alaihi wasallam)) anaposimama katika Swalaah? Unaniambia kwamba ikiwa yeye (mja - Muhammad (Sallallahu 'alaihi wasallam)) yuko juu ya uongofu, au anaamrisha kwa uchamungu (basi vipi Abu Jahl atamzuia)? Unaniambia kwamba ikiwa yeye (Abu Jahl) atakataa na akageuka - hatambui kwamba Allah Ta’ala anaona kila kitu? Bali ikiwa (Abu Jahl) hataacha (maovu yake), tutamburuta kwa kisogo, kisogo cha uwongo mpotovu. Basi na aliite baraza lake, nasi tutaliita jeshi letu maalumu (la Malaika). Hapana! .Usimtii yeye (Ewe Muhammad (Sallallahu 'alaihi wasallam)), na uwe una sujudu na ukaribie (kwa Allah Ta’ala).
Soma Zaidi »Miaka Thamanini ya Kusamehewa madhambi, na Miaka Thamanini ya Ibaadah Inarikodiwa kwa kumswalia Nabii wa Allah Mara Thamanini kwenye siku ya Ijumaa
عن أبي هريرة رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: من صلى صلاة العصر من يوم الجمعة فقال قبل أن يقوم من مكانه اللهم صل على محمد النبي الأمي وعلى آله وسلم تسليما غفرت له ذنوب ثمانين عاما وكتبت له عبادة ثمانين سنة (القول البديع صـ …
Soma Zaidi »