Sunna za Msikiti

21. Usipite mbele ya mtu anayeswali. Lakini, ikiwa ameweka sutrah mbele yake (yaani kuweka kitu chochote kirefu ili watu wapite mbele yake), inajuzu kupita mbele ya sutrah.[1] عن أبي جهيم رضي الله عنه قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم لو يعلم المار بين يدي المصلي ماذا عليه لكان …

Soma Zaidi »

Kunywa kutoka kwa Howdh ya Kawthar ya Mustafa (sallallahu alaihi wasallam) na kikombe cha kipimo kamili

Hasan Basri (rahimahullah) ametaja, “Yoyote anayetaka kunywa kutoka kwa Howdh ya Kawthar (Sehemu Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) atawapa watu maji kunywa Siku ya Qiyaamah) ya Mustafa (sallallahu ‘alaihi wasallam) na kikombe cha kipimo kamili, basi amswalie Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) kwa maneno yafuatayo: اَللّٰهُمَّ صَلِّ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَعَلٰى آلِهِ وَأَصْحَابِهِ …

Soma Zaidi »

Sunna za Msikiti

18. Ni bora mtu asiutumie msikiti kama njia ya kupita (kupitia ng’ambo).[1] عن ابن عمر رضي الله عنهما عن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال خصال لا تنبغي في المسجد لا يتخذ طريقا ولا يشهر فيه سلاح (سنن ابن ماجة، الرقم: 748)[2] Sayyidina Ibnu Umar (radhiyallahu ‘anhuma) anaripoti kwamba Sayyidina …

Soma Zaidi »

Mapenzi Kwa Maswahaabah

Ja’far As Saaigh (Rahimahullah) anasimulia tukio hili ifuatayo: Miongoni mwa majirani wa Imaam Ahmad bin Hanbal (Rahimahullah) alikuwa mtu ambaye alihusika katika madhambi mengi, maovu na vitendo visivyo na haya. Siku moja mtu huyu alikuja kwenye mkusanyiko wa Imaam Ahmad bin Hanbal (Rahimahullah) na akamsalimia kwa salaam. Ingawa Imaam Ahmad …

Soma Zaidi »

Tafseer Ya Surah Al-Qaar’iah

Siku ya tukio la Mpigiko; na ni siku gani ya tukio la Mpigiko? Na nini kitakujulisha kuhusiana na tukio la Mpigiko? Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika; na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa. Basi ambaye mizani yake (ya amali) ni nzito, atakuwa katika maisha ya furaha. Na ama yule ambaye mizani yake ni nyepesi, makazi yake yatakuwa “Haawiyah” (shimo la Jahannam). Na nini kitacho kujulisha nini hiyo? (Ni) moto mkali.

 

Soma Zaidi »

Kutuma Salaa na Salaam juu ya Manabii (alayhi mus salaam) Wengine Pamoja na Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam)

Anas (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah sallallahu alaihi wasallam alisema, “Jibreel (alayhis salaam) ametoka kwangu sasa hivi. Amekuja kunifahamisha kwamba Allah ta'ala amesema, ‘Hakuna Muislamu duniani anayetuma salaa na salaam juu yako (yaani juu ya Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam)) mara moja, isipokuwa kwamba Mimi na Malaika Wangu tutamtumia salaa na salaam juu yake (yaani nammiminia rehema kumi na Malaika wangu wamwombee msamaha mara kumi) kwa hivyo niswalie mara nyingi siku ya ijumaa, na utakapo niswalia, basi tuma salamu kwa Manabii (alayhi mus salaam), kwa sababu mimi ni Nabii miongoni mwa Manabii (alayhi mus salaam).”

Soma Zaidi »

Sunna Za Msikiti

14. Hakikisha unazima simu yako ya mkononi unapoingia msikitini ili isilete usumbufu kwa wale wenye
kujishughulisha na kuswali na ibaadaah zingine.

15. Usipige picha au kutengeneza video ukiwa msikitini. Kupiga picha au kutengeneza video za vitu vilivyo hai ni haraam katika Uislamu, na kufanya hivyo katika msikitini ni dhambi kubwa zaidi.

Soma Zaidi »

Kutuma Salaa na Salaam juu ya Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) pamoja na Manabii wengine

عن قتادة عن أنس قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: إذا صليتم علي المرسلين فصلوا علي معهم فإني رسول من المرسلين ( الصلاة على النبي لابن أبي عاصم، الرقم: 69، وإسناده حسن جيد كما في القول البديع صـ 134) Imepokewa kutoka kwa Anas (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Rasulullah (sallallahu …

Soma Zaidi »

Sunna Za Msikiti.

13. Usipaze sauti yako au kufanya kelele ndani ya msikiti na katika eneo linalozunguka musjid.[1] عن السائب بن يزيد رضي الله عنه قال كنت نائما في المسجد فحصبني رجل فنظرت فإذا عمر بن الخطاب رضي الله عنه فقال اذهب فأتني بهذين فجئته بهما فقال ممن أنتما أو من أين أنتما …

Soma Zaidi »