Mfumo wa Allah Ta‘ala, kuhusiana na jinsi mwanadamu alivyo umbwa, ni kwamba wakati mambo mawili yanapopatikana basi mwanadamu atapatikana. Sababu ya kwanza ni njia ya wazazi ambayo mbegu ya mwanaume hupandwa ndani ya tumbo la mama. Sababu ya pili ni roho kupulizwa ndani ya tumbo baada ya kukamilisha miezi minne. …
Soma Zaidi »Monthly Archives: May 2026
KUAMKA
Kabla ya kulala, tunafundishwa kusoma dua za masnoon na kumdhukuru Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah). Miongoni mwa dua za mchana kabla ya kulala ni dua ifuatayo: اَللّٰهُمَّ بِاسْمِكَ أَمُوْتُ وَأَحْيٰى Ee Mwenyezi Mungu, kwa jina lako nitakufa na kuishi. Katika dua hii, usingizi umefanishwa na kifo, kutokana na ukweli kwamba wakati …
Soma Zaidi »Mchamungu wa Wakati Wake – Bishr Haafi (rahimahullah)
Bishr Haafi (rahimahullah) alikuwa mchamungu mashuhuri katika zama zake. Wakati mmoja, mtu fulani alimuuliza, “Umeipataje nafasi hii ya juu ya uchamungu na uadilifu tunayoiona?” Katika kujibu, Bishr (rahimahullah) alitaja yafuatayo: Chochote ambacho nimebarikiwa nacho ni kupitia neema ya Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala). Hali yangu ya awali ilikuwa kwamba sikuwa mtu …
Soma Zaidi »Tahadhari Kubwa ya Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) anaposimulia Hadith za Mtume (Sallallahu alaihi wasallam)
‘Amr bin Maimoon (rahimahullah) aliwahi kueleza tahadhari kubwa ya Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) alipokuwa akiripoti hadith kutoka kwa Mtume (Sallallahu alaihi wasallam). Ametaja: “Wakati mmoja, Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) alianza kusimulia Hadith kutoka kwa Mtume (Sallallahu alaihi wasallam), aliingiwa na woga na wasiwasi kiasi kwamba jasho …
Soma Zaidi »Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) na Elimu yake ya Qur-aan Majeed.
Shaqeeq bin Salamah (rahimahullah), mwanafunzi wa Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu), anasimulia kwamba wakati mmoja, Abdullah bin Mas’uud (Radhiyallahu ‘anhu) alitoa khutbah. Wakati wa khutbah, alitaja, “Na aapa kwa Mwenyezi Mungu!Nimejifunza zaidi ya surah sabini za Quraan Kareem moja kwa moja kutoka kwa Mtume (Sallallahu alaihi wasallam). Na aapa …
Soma Zaidi »
Alislaam Juhudi za Kuleta uislam ndani ya maisha yetu