Dua Ya Kwanza اَللّٰهُمَّ بِاسْمِكَ أَمُوْتُ وَأَحْيٰى Ewe Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah), kwa jina lako nitakufa na kuishi. Dua Ya Pili اَللّٰهُمَّ قِنِيْ عَذَابَكَ يَوْمَ تَبْعَثُ عِبَادَكَ Ewe Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah), niokoe na adhabu Yako siku ambayo utawafufua waja zako (kutoka kaburini). Kumbuka: Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alikuwa akisoma …
Soma Zaidi »Dua Unapo Ota Ndoto Mbaya
Ikiwa unahofu usiku kwa sababu ya kuona ndoto mbaya, basi soma dua zifuatazo:
Dua Ya Kwanza
Naomba kujikinga na maneno kamili ya Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah), ambayo mchamungu wala muovu hawezi kuyapita; najikinga na shari yoyote inayoteremka kutoka mbinguni na inayopanda kwenda mbinguni, na najikinga na shari yoyote alichokiumba duniani na kinachotokea humo, na najikinga na mitihani za usiku na mitihani za mchana, na shari za viumbe wanaotoka usiku na mchana, isipokuwa wale wanaokuja kwa kheri, Ewe Mwingi wa Rehma.
Soma Zaidi »Sunna na Aadaab Za Kulala 5
16. Ni mustahab kufanya qailoolah (kulala mchana kidogo), kwa sababu hii itakusaidia kuamka Tahajjud. Ibnu Abbaas (Radhiyallahu anhuma) anaripoti kwamba Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Jisaidieni na saumu mchana kwa kula daku, na jisaidieni na kusimama tahajjud usiku kwa kulala mchana (qailoola).” 17. Hakikisha kwamba unaswali, unajishughulisha na dhikr au …
Soma Zaidi »Sunna na Aadaab Za Kulala 4
14. Ukiona ndoto nzuri, basi sema Alhamdulillah. Unaweza kumsimulia mtu ambaye ana ujuzi katika tabiri za ndoto au kwa mtu ambaye ni mkutakia mema. Imepokewa kutoka kwa Abu Sa’eed Khudri (Radhiyallahu anhu) kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Mmoja wenu akiona ndoto nzuri inayomfurahisha, basi ahesabu hiyo ndoto kuwa ni …
Soma Zaidi »Sunna na Aadaab Za Kulala 4
12. Ikiwa macho yako yanafunguka usiku, basi soma dua ifuatayo na baada ya hapo unaweza kumuomba Mwenyezi Mungu chochote. Insha-Allah, dua yako itakubaliwa. لَا إِلٰهَ إِلَّا اللهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيْكَ لَهُ لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ وَهُوَ عَلٰى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيْرْ اَلْحَمْدُ لِلّٰهِ وَسُبْحَانَ اللهِ وَلَا إِلٰهَ إِلَّا اللهُ وَاللهُ أَكْبَرُ …
Soma Zaidi »Sunna na Aadaab Za Kulala 3
8. Usilale juu ya tumbo lako. Ya’eesh Ghifaari (Radhiyallahu anhu) anaripoti: Wakati mmoja, nilikuwa nimelala kwenye tumbo msikitini kutokana na maumivu ya tumbo. Ghafla, mtu alikuja na kunishtuwa na mguu wake akisema, “Kulala katika hali hii (yaani. juu ya tumbo) haipendezwi na Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah) (Niligeuka kuangalia ni nani …
Soma Zaidi »Sunna na Aadaab Za Kulala 1
1. Baada ya swalaah ya isha, usipotezi muda wako na mazungumzo na watu. Badala yake, jaribu kulala mapema iwezekanavyo ili uweze kuamka kuswali Tahajjud na uswali alfajiri kwa wakati. Lakini, ikiwa kuna haja ya kubaki macho, mfano Kushiriki katika kazi za Dini, kujadili Masla za dini, Mashwarah muhimu, nk basi …
Soma Zaidi »
Alislaam Juhudi za Kuleta uislam ndani ya maisha yetu