Monthly Archives: October 2025

Bilaal (Radhiyallahu ‘Anhu) akiwa katika jukumu la kutunza mkuki wa Rasulullah (Sallallahu’ Alaihi Wasallam)

Mfalme wa Abyssinia (Najaashi (Rahimahullah) aliwahi kumtumia Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) mikuki mitatu kama zawadi. Baada ya kupokea mikuki mitatu, Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) aliimpa Ali (Radhiyallahu’ Anhu) mkuki mmoja, akaampa Umar (Radhiyallahu’ Anhu) mkuki wa pili na akabaki na mkuki wa tatu. Katika vipindi vya laidi (idi ndogo na …

Soma Zaidi »