Mchamungu Mkubwa – Fudhail bin Iyaaz (Rahimahullah)

Fudhail bin Iyaaz (Rahimahullah) alikuwa Muhaddith mashuhuri na mchamungu mkubwa wa zama zake. Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) alimbariki na daraja la juu katika Hadith kiasi kwamba Muhadditheen mashuhuri wengi, kama Abdullah bin Mubaarak, Sufyaan bin Uyainah na Imaam Shaafi’i (Rahimahumullah) wamesimulia Hadith kutoka kwake. Imeripotiwa kwamba kabla ya Fudhail (rahimahullah) …

Soma Zaidi »

Dua Na Adhkaar Kabla Ya Kulala 3

Dua Ya Nane اَلْحَمْدُ لِلّٰهِ الَّذِيْ كَفَانِيْ وَآوَانِيْ وَأَطْعَمَنِيْ وَسَقَانِيْ وَالَّذِيْ مَنَّ عَلَيَّ فَأَفْضَلَ وَالَّذِيْ أَعْطَانِيْ فَأَجْزَلَ اَلْحَمْدُ لِلّٰهِ عَلٰى كُلِّ حَالٍ اَللّٰهُمَ رَبَّ كُلِّ شَيْءٍ وَمَلِيْكَهُ وَإِلٰهَ كُلِّ شَيْءٍ أَعُوْذُ بِكَ مِنَ النَّارْ Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye amenitosheleza (katika haja zangu zote). akanihifadhi, akanilisha na …

Soma Zaidi »

Ushujaa wa Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu)

Wakati wa vita vya Hunain, Waislamu walipata kushindwa kwa muda. Katika kipindi hiki kigumu, Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) alikuwa miongoni mwa Maswahabah (Radhiya Allaahu ‘anhum) waliobaki imara na Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam). Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) anasimulia: “Nilikuwa pamoja na Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) siku ya …

Soma Zaidi »

Kamwe Usipoteze Matumaini Katika Kumrekebisha Mtu Yoyote

Kamwe Usipoteze Matumaini Katika Kumrekebisha Mtu Yoyote Abdullah bin Maslamah Qa’nabi (rahimahullah) alikuwa miongoni mwa Muhadditheen mashuhuri katika zama zake. Alikuwa ni ustaad wa Muhadditheen wengi mashuhuri, kama Imaam Bukhaari, Imaam Muslim na Imaam Abu Daawuud (Rahimahumullah). Inaripotiwa kwamba mwanzoni mwa maisha yake, alikuwa na marafiki wabaya na alikuwa akinywa …

Soma Zaidi »

Dua Na Adhkaar Kabla Ya Kulala 2

Dua ya Tano بِاسْمِكَ رَبِّ وَضَعْتُ جَنْبِيْ وَبِكَ أَرْفَعُهُ إِنْ أَمْسَكْتَ نَفْسِيْ فَارْحَمْهَا وَإِنْ أَرْسَلْتَهَا فَاحْفَظْهَا بِمَا تَحْفَظُ بَهِ عِبَادَكَ الصَّالِحِيْنَ Kwa jina Lako, ewe mola wangu, naweka ubavu wangu (kitandani), na kwako (yaani kwa jina lako na usaidizi) ninauinua (wakati wa kuamka). Ukiichukua nafsi yangu (katika usingizi wangu) basi …

Soma Zaidi »

Tukio la Wahshi (Radhiyallahu anhu) akisilimu

Wakati wa Vita wa Uhud, miongoni ya misiba machingu aliyoipata Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) ilikuwa ni mjomba wake kipenzi hamza (Radhiyallahu anhu) kuuwawa kishahidi. Aliyehusika kumuua Hamza (Radhiyallahu anhu) hakuwa mwingine ila Wahshi ibn Harb (Radhiyallahu anhu). Wakati huo, hakuwa Mwislamu, lakini Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala)baadaye akambariki na Imaan na …

Soma Zaidi »