Kuwatembelea Wagonjwa

Fadhila Za Kuwatembelea Wagonjwa 1

Kupata Dua Ya Malaika Elfu Sabini Imepokewa kutoka kwa Ali (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Mwenye kumtembelea mgonjwa asubuhi, Malaika elfu sabini humuombea rahma kwa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) mpaka jioni, na anayemtembelea mgonjwa jioni, Malaika elfu sabini humwomba rahma kwa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) mpaka asubuhi, …

Soma Zaidi »

Kuwatembelea Wagonjwa

Dini ya Uislamu inatetea na kuamrisha mtu kutimiza haki anazo daiwa na Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) na haki anazo daiwa na waja wa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala). Kuhusu haki anazodaiwa na waja wa Allah Ta’ala, hizi zinaweza kugawanywa katika aina mbili za haki. Aina ya kwanza ni zile haki ambazo …

Soma Zaidi »