Katika hadith, Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) ameelezea Ummah sifa za kibinadamu za Dajjaal. Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) akielezea kuhusu Dajjaal na sifa za mwili za kibinadamu zinaonyesha kwa ukweli kwamba Dajjaal pia ni mwanadamu. Kwa hivyo, imani ya Ahlus Sunnah Wal Jamaa ni kwamba Dajjaal ni mwanadamu, na ataibuka ulimwenguni …
Soma Zaidi »