Wakati mmoja, wakati akizungumza kuhusu Bilaal (Radhiyallahu ‘Anhu), Sa’eed bin Musayyib (Rahimahullah) alisema: Tamaa ya kuwa muisilamu ilikuwa kubwa sana moyoni mwa Bilal (Radi Allahu ‘Anhu). Alikuwa akiwekwa chini na kuteswa katika mikono ya makafiri. Wakati wowote makafiri wangejaribu kumlazimisha kuachana na Uislamu, angekataa kwa nguvu na kutangaza waziwazi “Allah …
Soma Zaidi »Monthly Archives: September 2025
Dua Baada Ya Kula 1
Dua ya kwanza: اَلْحَمْدُ لِلّٰهِ الَّذِيْ أَطْعَمَنَا وَسَقَانَا وَجَعَلَنَا مُسْلِمِيْنَ Sifa zote ni za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) ambaye alitupa chakula na vinywaji na kutufanya Waislamu. Dua ya pili اَلْحَمْدُ لِلّٰهِ الَّذِيْ أَطْعَمَنِيْ هٰذَا الطَّعَامَ وَرَزَقَنِيْهِ مِنْ غَيْرِ حَوْلٍ مِّنِّيْ وَلَا قُوَّةٍ Sifa zote ni za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) ambaye …
Soma Zaidi »Bilaal (Radhiyallahu ‘Anhu) akitoa Adhaan ndani ya Shaam
Wakati mmoja pindi ‘Umar (Radhiyallahu’ Anhu) alisafiri kwenda Baitul Muqaddas wakati wa Khilafa yake, alitembelea Jaabiyah (sehemu mmoja ndani ya Shaam). Wakati alikuwa ndani ya Jaabiyah, watu walimwendea na kumuuliza ikiwa angemuomba Bilaal (Radhiyallahu ‘Anhu), ambaye alikuwa akiishi Shaam, awatolee adhaan, kwa sababu yeye alikuwa Muadhin wa Rasulullah (Sallallahu Alaihi …
Soma Zaidi »Hazrat Bilaal (Radhiyallahu ‘Anhu) – Mweka Hazina wa Rasulullah (Sallallahu’ Alaihi Wasallam)
Abdullah al-Hawzani (Rahimahullah) anataja kwamba aliwahi kukutana na Bilaal (Radhiyallahu’ Anhu) huko Halab (mji wa Shaam). Alipokutana na Bilaal (Radhiyallahu ‘Anhu), akamwuliza, “Ewe Bilaal (Radhiyallahu’ Anhu)! Niambie kuhusu jinsi Nabi (Sallallahu ‘Alaihi wasallam) alikuwa akitumia mali (kwenye kazi za dini). ” Bilaal (Radhiyallahu ‘Anhu) akajibu: “Tangu wakati Mwenyezi Mungu (subhaanahu …
Soma Zaidi »Sunna na Adabu za kabla ya kula 6
4. Usizidishi kula. Badala yake, kula kwa kiwango ambacho unahitaji. Miqdaad (Radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, ” Hakuna chombo ambacho mtu anaweza kujaza ambayo ni mbaya zaidi kuliko tumbo. Tonge chache vya chakula ambacho kitaruhusu mgongo kubaki sawa (na kumwezesha mtu kutimiza ibada ya Mwenyezi Mungu) …
Soma Zaidi »Wazazi Wakiongoza Kwa Mfano
Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alikuwa mtu bora zaidi katika waja wa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala). Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) alimchagua kama mjumbe wake wa mwisho na akambariki na Dini bora zaidi – Dini ya kiislamu ambayo ni kanuni kamili ya maisha kwa mwanadamu kufuata. Mtu akichunguza tabia uliobarikiwa wa Rasulullah, …
Soma Zaidi »Bilaal (Radhiyallahu ‘Anhu) Akitoa Adhaan Juu Ya Ka’bah Shareef
Katika hafla ya Fath-ul-Makkah (ushindi wa Makkah), Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) aliingia ndani ya Ka’bah Shareef na Bilaal (Radhiyallahu’ Anhu) na Usamah (Radhiyallallahu). Wakati huo, Msikiti ulijaa na maquraish ambao walikuwa kwenye safu, kumuangalia Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) kuona nini atakalofanya na jinsi atakavyoshughulika na maquraish ambao walikuwa wamewafukuza Makka …
Soma Zaidi »Vifaa za Dajjaal – Utajiri, Wanawake na Burudani
Wakati Dajjaal ataonekana ulimwenguni, vitu ambazo atatumia kupotosha mwanadamu zitakuwa utajiri, wanawake na burudani. Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) atampa nguvu ya kutekeleza mambo yasio ya kawaida hadi kwamba wote wanaoshuhudia watashawishiwa na kutapeliwa na wimbi la Fitnah yake. Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) atamruhusu kusababisha mawingu kunyesha, kufanya ardhi itoe mazao …
Soma Zaidi »Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) Akisikia Nyayo Za Bilaal (Radhiyallahu’ Anhu) huko Jannah
Abu Hurairah (Radhiyallahu ‘Anhu) anaripoti kwamba wakati moja, baada ya swala alfajiri, Rasulullah (Sallallahu’ Alaihi Wasallam) alimwambia Bilaal (Radhiyallahu ‘Anhu), “Ewe Bilaal! Kutoka kwa vitendo unavyofanya za kiislam, niambie ni kitendo gani unachokifanya kikubwa la kukufaidisha Akhera, kwa sababu usiku wa jana, nilikuwa nimesikia nyayo zako mbele yangu huko Jannah …
Soma Zaidi »