Monthly Archives: April 2024

Madai Ya Baadhi Ya Watu Wa Kufah:

Katika mwaka wa 21 A.H., baadhi ya watu wa Kufah walikuja kwa ‘Umar (Radhiyallahu ‘anhu) na kumlalamikia Sa’d (Radhiyallahu ‘anhu) kwamba hakuswali sawa sawa. Wakati huo, Sa’d (Radhiya Allahu ‘anhu) alichaguliwa na Umar (radhiyallahu ‘anhu) kama gavana wa Kufah. Hivyo basi ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) akamwita Sa’d (Radhiya Allaahu ‘anhu) …

Soma Zaidi »

Sunna Na Adabu Za Dua 8

19. Jiepushe na ulaji wa haramu au chakula chenye mashaka na kujihusisha na madhambi. Mtu kula haramu na kujihusisha na madhambi inazuia dua kujibiwa. Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Enyi watu, hakika Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) ni Msafi na anakubali kilicho safi. …

Soma Zaidi »

Maisha Ya Uislamu

Wakati mtu anazama na kujitahidi kuishi, atafanya chochote kuokoa maisha yake. Ikiwa ana uwezo wa kukamata kamba karibu na njia ambayo anaweza kujiondoa kutoka ndani ya maji, atashikamana nayo kwa bidii na kuiona kama njia yake ya kuokoa maisha yake. Katika ulimwengu huu, muumini anapokabiliwa na mawimbi ya fitna ambayo …

Soma Zaidi »

Mshale Wa Kwanza Kurushwa kwa Ajili Ya Uislamu

Sa’d (radhiya allaahu ‘anhu) alikuwa miongoni la kundi la Maswahabah ambao Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) aliwatuma katika mwaka wa kwanza baada ya Hijrah kuuzuia msafara wa Maquraishi. Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alimteua Ubaidah bin Haarith (radhiya allaahu ‘anhu) kuwa Amir (kiongozi) wa kundi hili. Katika msafara huu, Maswahabah (radhiyallahu ‘anhum) …

Soma Zaidi »