9. Usiinamishe au kutikisa kichwa wakati wa kutoa salaam. 10. Geuza uso wako pande zote mbili kwa kiasi ambacho mtu aliye nyuma ataweza kuona shavu lako.[1] 11. Baada ya salamu, soma اَسْتَغْفِرُ الله mara tatu.[2] 12. Shiriki katika dua kwa sababu huu ni wakati wa kukubaliwa dua.[2] 13. Soma Tasbih …
Soma Zaidi »Monthly Archives: March 2023
Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) Akimtetea Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)
Katika tukio moja, wakati Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) akiwa akiswali pembeni ya Ka’bah Sharifu, Uqbah bin Abi Mu’ait, mmoja wa viongozi waovu sana wa Maquraish, alimwendea kwa nia mbaya ya kumdhuru Alipokuja kwa Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam), Uqbah alimvua kitamba chake, akaiweka shingoni mwake na akaanza kumnyonga nayo bila huruma. …
Soma Zaidi »Ulinzi Ndani Ya Kaburi
Zaidi ya hayo, imeripotiwa kwamba mtu ambaye ameshikamana na Qur-aan Tukufu anapofariki, kabla ya kuzikwa, wakati familia yake bado inashughulika na ibada ya mazishi yake, Qur-aan Tukufu humjia ikiwa na sura nzuri na kusimama kwenye upande wa kichwa chake, kumlinda na kumfariji mpaka avikwe na sanda. Kisha Quraan Tukufu itaingia …
Soma Zaidi »