Swalah Ya Wanawake

Qunoot

4. Jinsi ya kutekeleza rakaa tatu za Witr ni kwamba utaswali rakaa mbili kwanza na kutoa salaam. Baada ya hapo utaswali rakaa moja. Ukipenda unaweza kuswali rakaa mbili na kukaa kwa ajili ya tashahhud. Kisha utasimama na kutekeleza rakaa ya tatu. Katika hali zote mbili, Qunuut itasomwa katika rakaa ya …

Soma Zaidi »

Qunoot

3. Ni sunna kuswali Witr kila siku katika kipindi chote cha mwaka. Swala ya Witr itatekelezwa baada ya kuswali Fardh na Sunnah za Swalah ya Esha. Kwa mwaka mzima, mtu anaposwali Witr, hatosoma Qunoot. Lakini, ni sunna kusoma Qunout kwenye Witr katika kipindi cha pili ya Ramadhaan (tangu 15 Ramadhani …

Soma Zaidi »

Qunoot

1. Ni Sunnah kusoma Qunoot katika rakaa ya pili ya Alfajiri. Qunoot itasomwa katika rakaa ya pili pindi unaposimama baada ya rukuu. Mtu atasoma kwanza tahmiid (ربنا لك الحمد) na baada ya hapo ataisoma Qunout. 2. Wakati wa kusoma Qunoot, mtu atainua mikono yake sambamba na kifua chake na kufanya …

Soma Zaidi »

Qa’dah Na Salaam

7. Ikiwa ni qa’dah ya mwisho, basi soma tashahhud, Swalawaat Ebrahimiyyah na baada ya hapo fanya dua. Swalawaat Ibrahimiyyah ni ifuatavyo: اَللّٰهُمَّ صَلِّ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَّعَلٰى اٰلِ مُحَمَّدٍ كَمَا صَلَّيْتَ عَلٰى إِبْرَاهِيْمَ وَعَلٰى اٰلِ إِبْرَاهِيْمَ  وَبَارِكْ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَّعَلٰى اٰلِ مُحَمَّدٍ كَمَا بَارَكْتَ عَلٰى إِبْرَاهِيْمَ وَعَلٰى اٰلِ إِبْرَاهِيْمَ فِيْ الْعَالَمِيْنَ …

Soma Zaidi »

Qa’dah Na Salaam

3. Soma Dua ya Tashahhud. اَلتَّحِيَّاتُ الْمُبَارَكَاتُ الصَّلَوَاتُ الطَّيِّبَاتُ لِلّٰهِ السَّلَامُ عَلَيْكَ أَيُّهَا النَّبِيُّ وَرَحْمَةُ اللّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ سَلَامٌ عَلَيْنَا وَعَلٰى عِبَادِ اللّٰهِ الصَّالِحِيْنَ أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلٰهَ إِلَّا اللهُ وَأَشْهَدُ أَنَّ مُحَمَّدًا رَّسُولُ اللّٰهِ Ibaadah zote za Kisomo zilizobarikiwa, ibaadah za kimwili ni za Allah Ta’ala. Amani ya Allah Ta’ala …

Soma Zaidi »

Rakaa ya Pili

1. Unapoinuka kutoka kwenye sajdah, kwanza inua paji la uso na pua; kisha viganja vya mkoni na mwisho magoti. 2. Ukiwa unasimama kwa ajili ya rakaa ya pili, chukua usaidizi kutoka ardhini kwa kuweka mikono yako miwili juu yake. 3. Tekeleza rakaa ya pili kama kawaida (bila ya kusoma Dua- …

Soma Zaidi »

Jalsah

1. Soma takbira na ukae katika hali ya jalsah. 2. Weka mguu wa kulia katika hali ukiwa umesimama huku vidole vyake vya miguu vikikandamizwa chini na vielekee kibla. Weka mguu wa kushoto pande na uukalie. 3. Kaa kwa namna ambayo mapaja yako yote yameunganishwa pamoja. 4. Weka mikono juu ya …

Soma Zaidi »

Sajdah

1. Soma takbira na kisha nenda kwenye sajdah. 2. Weka mikono kwenye magoti huku ukiendelea kwenda kwenye sajdah. 3. Kwanza weka magoti chini, kisha mikono, na mwisho paji la uso na pua kwa pamoja. 4. Vidole viwekwe kwa pamoja na vielekee kibla. 5. Weka mikono yako chini kwa njia ambayo …

Soma Zaidi »

Ruku na I’tidaal

7. Soma tasbeeh ifuatayo mara tatu au idadi yoyote isiyo ya kugawanyika: سُبْحَانَ رَبِّيَ الْعَظِيْم Utukufu ni wa Mola wangu Mkubwa. 8. Baada ya kusoma tasbihi, simama kutoka kwenye rukuu huku ukisema tasmee’: سَمِعَ اللهُ لِمَنْ حَمِدَهْ Allah Ta’ala Humsikia mwenye kumsifu. 9. Inua mikono (kama ilivyoelezwa katika takbeeratul ihraam) …

Soma Zaidi »

Rukuu na I’tidaal

1. Ukimaliza kusoma Surah Faatihah na Qiraah (Surah nyingine), tulia kwa muda na baada ya hapo inua mikono (kama ilivyoelezwa katika takbeeratul ihraam) huku ukisema takbira na endelea kwa kwenda kwenye rukuu. Kumbuka: Takbira ya intiqaaliyyah (takbira inayosomwa wakati wa kuhama kutoka kwenye mkao mmoja hadi mwingine) inapaswa kuanza mara …

Soma Zaidi »