Qunoot

4. Jinsi ya kutekeleza rakaa tatu za Witr ni kwamba utaswali rakaa mbili kwanza na kutoa salaam. Baada ya hapo utaswali rakaa moja. Ukipenda unaweza kuswali rakaa mbili na kukaa kwa ajili ya tashahhud. Kisha utasimama na kutekeleza rakaa ya tatu. Katika hali zote mbili, Qunuut itasomwa katika rakaa ya mwisho baada ya rukuu. Utasoma  ربنا لك الحمد  na baada ya hapo soma Qunuut.

5. Imaam atasoma Qunout kwa sauti. Munfarid (mwenye kuswali pekee yake) atasoma Qunout kimya kimya. Muqtadi (mwenye anaswali nyuma ya imaam) atasema amiin kwa sauti baada ya kila kifungu cha dua ya imaam mpaka imaam asome وقني شر ما قضيت Baada ya hapo Muqtadi atasoma maneno yale yale ambayo imaam aliyoyasoma mpaka imaam akisoma: فلك الحمد على ما قضيت Muqtadi atasema tena Aamin baada ya kila kifungu hadi mwisho wa dua.

About admin

Check Also

Qa’dah Na Salaam

3. Soma Dua ya Tashahhud. اَلتَّحِيَّاتُ الْمُبَارَكَاتُ الصَّلَوَاتُ الطَّيِّبَاتُ لِلّٰهِ السَّلَامُ عَلَيْكَ أَيُّهَا النَّبِيُّ وَرَحْمَةُ …