admin

Tukio la Wahshi (Radhiyallahu anhu) akisilimu

Wakati wa Vita wa Uhud, miongoni ya misiba machingu aliyoipata Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) ilikuwa ni mjomba wake kipenzi hamza (Radhiyallahu anhu) kuuwawa kishahidi. Aliyehusika kumuua Hamza (Radhiyallahu anhu) hakuwa mwingine ila Wahshi ibn Harb (Radhiyallahu anhu). Wakati huo, hakuwa Mwislamu, lakini Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala)baadaye akambariki na Imaan na …

Soma Zaidi »

Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) Akimuua Abu Jahl

Baada ya vita ya Badr na Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) na maswahaabah (Radhiyallahu anhum) walipata ushindi, Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) aliwaambia Maswahaba, “Ni nani atakayekwenda kuona hali ya Abu Jahl?” Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) alikwenda kumtafuta na akakuta watoto wawili wa ‘Afraa (Radhiya Allaahu ‘anha) wamemumiza na akiwa …

Soma Zaidi »

Dua Na Adhkaar Kabla Ya Kulala

Dua Ya Kwanza اَللّٰهُمَّ بِاسْمِكَ أَمُوْتُ وَأَحْيٰى Ewe Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah), kwa jina lako nitakufa na kuishi. Dua Ya Pili اَللّٰهُمَّ قِنِيْ عَذَابَكَ يَوْمَ تَبْعَثُ عِبَادَكَ Ewe Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah), niokoe na adhabu Yako siku ambayo utawafufua waja zako (kutoka kaburini). Kumbuka: Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alikuwa akisoma …

Soma Zaidi »

Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu)

Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) alikuwa ni kijana mdogo, akikuwa akichunga mbuzi za Uqbah bin Abi Mu’ait katika eneo la Makkah Mukarramah. Siku moja akiwa anachunga mbuzi, Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) na Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) walipita huku wakiwa wakiwakimbia wamushrikeen. Kwa kuwa ilikuwa ni desturi ya Waarabu …

Soma Zaidi »

Dua Unapo Ota Ndoto Mbaya

Ikiwa unahofu usiku kwa sababu ya kuona ndoto mbaya, basi soma dua zifuatazo:

Dua Ya Kwanza

Naomba kujikinga na maneno kamili ya Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah), ambayo mchamungu wala muovu hawezi kuyapita; najikinga na shari yoyote inayoteremka kutoka mbinguni na inayopanda kwenda mbinguni, na najikinga na shari yoyote alichokiumba duniani na kinachotokea humo, na najikinga na mitihani za usiku na mitihani za mchana, na shari za viumbe wanaotoka usiku na mchana, isipokuwa wale wanaokuja kwa kheri, Ewe Mwingi wa Rehma.

Soma Zaidi »

Mahdi (Radhiya Allaahu ‘anhu)

Kuja kwa Mahdi (Radhiya Allaahu ‘anhu) ni dalili ya kwanza kati ya alama kuu zitakazojitokeza kabla ya Qiyaamah. Katika hadith nyingi, Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alikuwa amebashiri kuja kwa Mahdi (Radhiya Allaahu ‘anhu) ndani ya ummah huu. Allaamah Suyooti (Rahimahullah) ametaja kuwa hadithi zinazohusu kuja kwa Mahdi (Radhiya Allaahu ‘anhu) …

Soma Zaidi »