Dalili Za Qiyaamah

Imani ya Ahlus Sunnah Wal Jamaa’ah Kuhusu Dajjaal

Fitnah za kuenea za Dajjaal vipo katika vitabu vya Aqaa’id (imani za Kiisilamu). Ulama wa aqida wanamakubaliano kwamba kuamini katika kutokea kwa Dajjaal ni katika Aqida ya Ahlus Sunnah Wal Jamaa’ah. Ahaadith ambazo Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) alikuwa ameonya Ummah kuhusu Fitnah za Dajjaal ni nyingi sana kwamba vitabu vya …

Soma Zaidi »

Dalili Za Qiyaamah Part 4

Dalili Kumi Kubwa Za Qiyamah Kama jinsi kuna dalili nyingi ndogo za Qiyaamah zilizorekodiwa katika Ahaadith, hivyo hivyo kuna dalili nyingi kubwa ambazo pia zimetajwa katika Ahaadith. Dalili hizi kubwa ni matukio muhimu ambayo yatatokea ulimwenguni kabla ya Qiyaamah na itatangaza ukaribu wa Qiyaamah. Muhadditheen wame eleza kuja kwa Mahdi …

Soma Zaidi »

Dalili Za Qiyaamah 3

Dalili Ndogo Kuongezeka Kabla ya Dalili Kubwa Wakati wa kuzitazama dalili ndogo za Qiyamah zilizoandikwa katika Hadith, mtu hutambua kwamba ni kichocheo cha kuja kwa dalili kubwa. Kwa hivyo, kwa kweli, dalili ndogo zitaongezeka kwa wingi, hadi mwishoni zitafikia kilele kwa kuja kwa dalili kubwa. Katika hadith fulani, Rasulullah (Sallallahu …

Soma Zaidi »

Dalili Za Qiyaamah 2

Makusudio ya Kubainisha Alama za Qiyaamah kwa Ummah Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) ameufahamisha Ummah dalili nyingi ndogo ndogo na kubwa zitakazojitokeza kabla ya Qiyaamah. Dalili nyingi ndogo tayari zimeshuhudiwa katika karne zilizopita, na pia dalili nyingi hizi zikishuhudiwa leo. Aalim na Muhaddiyth mkubwa, ‘Allaamah Qurtubi (Rahimahullah), ametaja sababu mbili za …

Soma Zaidi »

Dalili Za Qiyaamah 1

Ndani ya hadith Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alikuwa ametabiri matukio yatakayotokea kabla ya Qiyaamah. Aliutahadharisha ummah juu ya mitihani na misukosuko mbalimbali ambayo itawakumba katika sehemu tofauti na nyakati tofauti duniani. Pia aliwaonyesha njia ya uongofu na wokovu kupitia fitnah hizi. Huu ndio uzuri na ubora wa Dini ya Uislamu, …

Soma Zaidi »