Monthly Archives: February 2022

Maneno ya Iqaamah na Njia ya Sunnah ya kutoa Iqaamah

3. Toweni iqaamah kwa hadr (isome kwa haraka namna).[1] عن جابر رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال لبلال إذا أذنت فترسل وإذا أقمت فاحدر (سنن الترمذي، الرقم: 195)[2] Sayyidina Jaabir (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alimuhutubia Sayyiduna Bilaal (radhiyallahu ‘anhu) kwa …

Soma Zaidi »

Tafseer ya surah ‘Alaq

Soma kwa jina la mola wako ambaye ameumba (kila kitu). Amemuumba mwanadamu kwa pande la damu. Soma, na mola wako ni Mwingi wa Rehema. Ambaye amemfundisha (mwanadamu) kwa njia ya kalamu. Alimfundisha mwanadamu asiyoyajua. Kwa hakika, mwanadamu amekiuka mipaka yote, kwa sababu anajiona kuwa yuko huru. Hakika marejeo ni kwa Mola wako. Je, umemuona (Abu Jahl) ambaye anamsmamisha, mja (Muhammad (Sallallahu 'alaihi wasallam)) anaposimama katika Swalaah? Unaniambia kwamba ikiwa yeye (mja - Muhammad (Sallallahu 'alaihi wasallam)) yuko juu ya uongofu, au anaamrisha kwa uchamungu (basi vipi Abu Jahl atamzuia)? Unaniambia kwamba ikiwa yeye (Abu Jahl) atakataa na akageuka - hatambui kwamba Allah Ta’ala anaona kila kitu? Bali ikiwa (Abu Jahl) hataacha (maovu yake), tutamburuta kwa kisogo, kisogo cha uwongo mpotovu. Basi na aliite baraza lake, nasi tutaliita jeshi letu maalumu (la Malaika). Hapana! .Usimtii yeye (Ewe Muhammad (Sallallahu 'alaihi wasallam)), na uwe una sujudu na ukaribie (kwa Allah Ta’ala).

Soma Zaidi »

Miaka Thamanini ya Kusamehewa madhambi, na Miaka Thamanini ya Ibaadah Inarikodiwa kwa kumswalia Nabii wa Allah Mara Thamanini kwenye siku ya Ijumaa

عن أبي هريرة رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: من صلى صلاة العصر من يوم الجمعة فقال قبل أن يقوم من مكانه اللهم صل على محمد النبي الأمي وعلى آله وسلم تسليما غفرت له ذنوب ثمانين عاما وكتبت له عبادة ثمانين سنة (القول البديع صـ …

Soma Zaidi »

Maneno ya Iqaamah na Njia ya Sunnah ya kutoa Iqaamah

1. Maneno ya iqaamah ni sawa sawa na maneno ya adhaan. Kwa hivyo, wakati wa kutoa iqaamah, inapaswa kusomwa kila kifungu cha maneno mara moja, isipokuwa قَدْ قَامَتِ الصَّلاَةْ (Qad Qaamatis Swalaah) ambayo itasemwa mara mbili. Kwa hivyo, baada ya حَيَّ عَلٰى الْفَلَاحْ (hayya ‘alal falaah), mtu atasema: قَدْ قَامَتِ …

Soma Zaidi »

Kumswalia Nabii wa Allah ta’ala Mara elfu moja siku ya ijumaah

عن أنس بن مالك قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: من صلى علي في يوم الجمعة ألف مرة لم يمت حتى يرى مقعده من الجنة (أخرجه ابن شاهين بسند ضعيف كذا في القول البديع صـ ٣٩٧) Ana’s (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) amesema, “Yule ambae …

Soma Zaidi »

Dua wakati wa Adhaan ya Maghrib

Soma dua ifuatayo wakati wa adhaan ya Maghrib au baada ya adhaan:[1] اَللّٰهُمَّ إِنَّ هٰذَا إِقْبَالُ لَيْلِكَ وَإِدْبَارُ نَهَارِكَ وَأَصْوَاتُ دُعَاتِكَ فَاغْفِرْ لِيْ Ewe Allah ta’ala! Huu ndio kuja kwake usiku na mchana kuondoka, na hizi ni sauti za waja wako wakiita (wa muadhin), basi nisamehe (dhambi zangu). عن أم …

Soma Zaidi »

Kusherekea Siku Ya Valentine

Swali: Je, inajuzu kwa Muislamu kusherekea siku ya Valentine? Jibu: kusherekea siku ya valentine ni desturi ya makafiri na ni sehemu ya utamaduni wa makafiri. Tumeamrishwa katika hadithi mubaraka kujiepusha na kuwaiga makafiri katika mila na utamaduni wao. Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “yoyote atakae iga watu Dubai atakuwa miongoni …

Soma Zaidi »

Surah ya Teen

وَالتِّينِ وَالزَّيْتُونِ ﴿١﴾ وَطُورِ سِينِينَ ﴿٢﴾ وَهَـٰذَا الْبَلَدِ الْأَمِينِ ﴿٣﴾ لَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنسَانَ فِي أَحْسَنِ تَقْوِيمٍ ﴿٤﴾ ثُمَّ رَدَدْنَاهُ أَسْفَلَ سَافِلِينَ ﴿٥﴾ إِلَّا الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ فَلَهُمْ أَجْرٌ غَيْرُ مَمْنُونٍ ﴿٦﴾ فَمَا يُكَذِّبُكَ بَعْدُ بِالدِّينِ ﴿٧﴾ أَلَيْسَ اللّٰـهُ بِاَحْكَمِ الْحَاكِمِينَ ﴿٨﴾ Na aapa kwa mtini na mzeituni; na kwa Mlima wa …

Soma Zaidi »

Kupata Dua ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kwa kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) katika siku ya Ijumaa

عن عمر بن الخطاب رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: أكثروا الصلاة علي في الليلة الزهراء واليوم الأغر فإن صلاتكم تعرض علي فأدعو لكم وأستغفر (القربة لابن بشكوال، الرقم: 107، وسنده ضعيف كما في القول البديع صـ 335) Umar Bin Khattaab (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba …

Soma Zaidi »

Fadhila Kubwa za Kumswalia Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kwenye siku ya Ijumaah

عن أوس بن أوس قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: إن من أفضل أيامكم يوم الجمعة فيه خلق آدم وفيه قبض وفيه النفخة وفيه الصعقة فأكثروا علي من الصلاة فيه فإن صلاتكم معروضة علي قال: قالوا: يا رسول الله وكيف تعرض صلاتنا عليك وقد أرمت يقولون بليت فقال: …

Soma Zaidi »