Monthly Archives: February 2025

Abdur Rahman bin Auf (Radhiyallahu ‘Anhu) Akiwa na Hofu Ya Kuulizwa Mbele Ya Allah Ta’ala licha ya yewe Kuwa Mtu Wa Kujitolea Kwa Sababu Ya Dini

Shu’bah (Rahimahullah) anasimulia: ‘Katika tukio moja, Abdur Rahman bin Auf (Radhiyallahu’ Anhu) alikuwa amefunga na Wakati wa Iftaar, chakula kililetwa mbele yake. Kuona chakula hicho, Abdur Rahman Bin Auf (Radhiyallahu ‘Anhu) alisema: “Hamzah (Radhiyallahu ‘Anhu) aliuwawa na hatukuweza kupata kitambaa cha kutosha ya sanda lake, na alikuwa bora kuliko mimi. …

Soma Zaidi »