Yearly Archives: 2025

Sunna na Aadaab za Jumu’ah 4

12. Jitahidi kumswalia Mtume (sallallahu alaihi wasallam) mara elfu moja siku ya Jumu’ah. Anas (Radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Yule ambaye ananitumia salaa na salaam mara elfu moja siku ya Jumu’ah, hatofariki hadi atakapoonyeshwa makazi yake peponi.”[1] 13. Ni Sunnah kusoma Surah A’ala (sabbihisma rabbikal a’laa) …

Soma Zaidi »

Kupokea Habari Njema Za Bahati Nzuri Na Msamaha Katika Ndoto

Usiku mmoja, Abdur Rahmaan bin Auf (Radhiyallahu ‘Anhu) alipoteza fahamu kwa muda mrefu wakati wa ugonjwa wake hadi wale walio karibu walidhani kwamba roho yake imeondoka. Walimfunika na kitambaa na wakaenda mbali naye. Mkewe, Ummu Kulthum bint ‘Uqbah, mara moja alitafuta msaada kwa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) kuvuta subira na …

Soma Zaidi »

Sunna na Aadaab za Jumu’ah 3

9. Ikiwezekana, kwenda msikitini kwa kutembea kuswali Jumu’ah. Kwa kila Hatua zitazochukuliwa, utapokea thawabu ya kufunga mwaka mmoja na kuswali Tahajjud kwa mwaka mmoja. Aws bin aws thaqafi (radhiallahu anhu) anasema, “Nilimsikia Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) akitaja, ‘Yule anayefanya ghusl siku ya Jumuah na anaenda mapema msikitini kwa kutembea, na …

Soma Zaidi »

Rasulullah (Sallalllahu ‘Alaihi Wasallam) akimchagua Abdur Rahmaan bin Auf (Radhiyallahu’ Anhu) kama kiongozi wa Jeshi kwenda Dumatul Jandal

Katika mwaka wa sita baada ya Hijrah, wakati wa mwezi wa Sha’baan, Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) alimhutubia Abdur Rahmaan bin Auf (Radhiyallahu ‘Anhu) na kumwambia, “Fanya maandalizi Kusafiri, ninakaribia kukutumia kwenye safari ima leo au kesho Insha Allah. ” Asubuhi iliyofuata, wakati Abdur Rahmaan bin Auf (Radhiyallahu ‘Anhu) alipokuja kabla …

Soma Zaidi »

Abdur Rahman bin Auf (Radhiyallahu ‘Anhu) Akiwa na Hofu Ya Kuulizwa Mbele Ya Allah Ta’ala licha ya yewe Kuwa Mtu Wa Kujitolea Kwa Sababu Ya Dini

Shu’bah (Rahimahullah) anasimulia: ‘Katika tukio moja, Abdur Rahman bin Auf (Radhiyallahu’ Anhu) alikuwa amefunga na Wakati wa Iftaar, chakula kililetwa mbele yake. Kuona chakula hicho, Abdur Rahman Bin Auf (Radhiyallahu ‘Anhu) alisema: “Hamzah (Radhiyallahu ‘Anhu) aliuwawa na hatukuweza kupata kitambaa cha kutosha ya sanda lake, na alikuwa bora kuliko mimi. …

Soma Zaidi »

Ukarimu Wa Abdur Rahmaan bin Auf (Radhiyallahu ‘Anhu)

Miswar bin Makhramah (Radhiya Allaahu anhu) anaripoti: Abdur Rahmaan bin Auf (Radhiya Allaahu ‘anhu) wakati fulani aliuzisha shamba la mizabibu kwa Uthmaan (Radhiyallahu ‘Anhu) kwa dinars elfu arobaini. Wakati Abdur Rahmaan (Radhiyallahu ‘Anhu) alipokea pesa hizo kutoka kwa Uthmaan, hapo hapo alizigawa kwa wake waliobarikiwa wa Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam), …

Soma Zaidi »

Abdur-Rahman bin Awf (Radhiya Allaahu ‘anhu) Akiongoza Swalaah.

Wakati wa safari ya Tabook, Maswahabah (Radhiya Allaahu ‘anhum) walikuwa wakisafiri pamoja na Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam). Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) aliwaacha Maswahabah (Radhiya Allaahu ‘anhum) kwenda kujisaidia. Kwa vile hakukuwa na muda mwingi uliobakia kwa Swalah ya Alfajiri, na Maswahabah (Radhiya allahi ‘anhum) waliogopa kwamba muda wa swalaah ungepita, …

Soma Zaidi »

Sunna na Aadaab za Jumu’ah 2

6. Ni vizuri kuvaa nguo nyeupe.[1] Imepokewa kutoka kwa Ibnu Abbaas (radhiyallahu anhuma) kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Vaa nguo nyeupe, kwa sababu hiyo ni nguo bora kabisa, na wafunike humo marehemu zenu.”[2] 7. Imepokewa kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) wakati fulani alikuwa akisoma Surah Sajdah katika rakaa ya …

Soma Zaidi »