Monthly Archives: May 2024

Fadhila Za Kuwatembelea Wagonjwa 1

Kupata Dua Ya Malaika Elfu Sabini Imepokewa kutoka kwa Ali (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Mwenye kumtembelea mgonjwa asubuhi, Malaika elfu sabini humuombea rahma kwa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) mpaka jioni, na anayemtembelea mgonjwa jioni, Malaika elfu sabini humwomba rahma kwa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) mpaka asubuhi, …

Soma Zaidi »

Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) Akitoa Upanga Wake Kumlinda Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)

‘Urwah bin Zubair (rahimahullah) anasimulia yafuatayo: Wakati mmoja, Shetani alizusha uwongo kwamba Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) ametekwa na Makafiri katika eneo la juu la Makkah Mukarramah. Aliposikia uzushi huu, Zubair (Radhiyallahu ‘anhu), ambaye alikuwa na umri wa miaka kumi na mbili tu wakati huo, mara moja akaondoka, akiwapita watu na …

Soma Zaidi »

Kuwatembelea Wagonjwa

Dini ya Uislamu inatetea na kuamrisha mtu kutimiza haki anazo daiwa na Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) na haki anazo daiwa na waja wa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala). Kuhusu haki anazodaiwa na waja wa Allah Ta’ala, hizi zinaweza kugawanywa katika aina mbili za haki. Aina ya kwanza ni zile haki ambazo …

Soma Zaidi »

Kitendo Kilichomsababishia Sa’d (radhiya allaahu ‘anhu) Kupata Bashara Njema Za Jannah

Anas (radhiya allaahu ‘anhu) anasimulia kwamba katika tukio moja, Maswahabah (Radhiya Allaahu anhum) walikuwa wamekaa kwenye kundi lililobarikiwa la Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) aliposema: “Baada ya dakika chache atatokea mtu katika watu wa Jannah mbele yenu.” Hapo hapo, Sa’d (radhiyallahu anhu) alitokea, akiwa amebeba viatu vyake kwa mkono wake wa …

Soma Zaidi »

Sunna Na Adabu Za Dua 9

21.Usiwe na haraka na kutokuwa na subra kwa ajili ya kukubaliwa na kutimizwa dua yako. Anas (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Mja ataendelea kuwa katika hali ya wema maadamu yuko (ameridhishwa na amri ya Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) na hana haraka. MaSwahaabah wakauliza, “Ewe Rasulullah (sallallahu …

Soma Zaidi »