Monthly Archives: August 2026

Siku ya Qiyaamah – Siku ya Majuto kwa Wengi

Ndani ya Quran Majeed, Siku ya Qiyaamah imetajwa na majina mbalimbali. Baadhi ya majina hayo ni “Siku ya Malipo”, “Siku ya Kukusanywa”, “Siku ya Hasara na Faida” (yaani hasara kwa makafiri na faida kwa waumini), na “Siku ya Mkutano” (yaani kukutana na Allah Ta‘ala). Tunapochunguza majina haya, tunaelewa kwamba kila …

Soma Zaidi »

Elimu Kuu ya Abdullah bin Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma)

Abdullah bin Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma) anasema: Baada ya kifo cha Mtume (Sallallahu alaihi wasallam), nilimwambia mmoja wa marafiki zangu wa Answaari, “Njoo twende tukajifunze (elimu ya Dini) kutoka kwa maswahaabah (Radhiya Allaahu ‘anhum), na wengi wao bado wako miongoni mwetu.” Akaniambia, “Ewe Ibnu Abbaas! Naapa kwa Mwenyezi Mungu, ninashangaa …

Soma Zaidi »

Zoezi la Mu’az (Radhiyallahu ‘anhu) la Kusoma Qur’ani Tukufu ndani ya Tahajjud

Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alimtuma Mu’aaz (Radhiya Allaahu ‘anhu) kutawala sehemu fulani ya Yemen, na akamtuma Abu Musa Ash’ari (Radhiya Allaahu ‘anhu) kutawala sehemu nyingine ya Yemen. Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) aliwahutubia na akawapa nasaha zifuatazo kabla ya kuwatuma. Akawaambia, “Rahisisheni mambo (kwa ajili ya watu), wala msifanye mambo kuwa …

Soma Zaidi »

Uhusiano wa Karibu Ambao Mu’aaz bin Jabal (Radhiya Allaahu ‘anhu) Alifurahia na Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam)

Muaz bin Jabal (Radhiya Allaahu ‘anhu) ametaja, “Wakati mmoja, nilikaa nyuma ya Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) juu ya punda alipokuwa amempanda. Hapakuwa na kitu baina yangu na Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) zaidi ya mbao la tandiko (ambalo humtenganisha mpanda farasi na aliyekaa nyuma yake). “Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) alinihutubia akisema, …

Soma Zaidi »

Ushauri wa Mwisho wa Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) kwa Mu’aaz (Radhiya Allaahu ‘anhu) alipomtuma Yemen.

Wakati Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) alipokuwa akimtuma Mu’aaz bin Jabal (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwenda Yemen kuwafundisha watu Dini na kuwatawala, Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) akamshindikiza mpaka nje ya Madina Munawwarah huku akimpa ushauri wake wa mwisho. Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) alimuamrisha kufanya baadhi ya matendo mema, na akamuamrisha kujiepusha na …

Soma Zaidi »