Monthly Archives: June 2024

Sunnah na Adabu Za Kuwatembelea Wagonjwa 2

4. Unapowatembelea wagonjwa, soma dua ifuatayo: لَا بَأْسَ طَهُوْرٌ إِنْ شَاءَ اللهُ Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi, kupitia maradhi haya, utatakasika inshaAllah.[1] Unaweza pia kusoma dua ifuatayo mara saba: أَسْألُ اللهَ الْعَظِيْمَ رَبَّ الْعَرْشِ الْعَظِيْمِ أَنْ يَّشْفِيَكَ Ninamuomba Allah Ta’ala, Mola wa Arshi kubwa, akuponye. Imepokewa kutoka kwa Ibnu …

Soma Zaidi »