Kusamehewa Madhambi Kwa Kuswali Jumu’ah Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (radhiyallahu anhu) kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Madhambi yaliyotendwa baina ya Jumu’ah mbili, maadamu si madhambi makubwa, yatasamehewa na Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah) (kwa kuswali Jumu’ah zote mbili). Siku Maalum ya Waumini Ibnu Abbaas (radhiyallahu anhuma) anasimulia kwamba Mtume …
Soma Zaidi »Jumu’ah
Siku ya Jumu’ah ina umuhimu mkubwa katika Uislamu. Ni miongoni mwa neema kubwa za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah) juu ya ummah huu ni sifa adhimu ya Uislamu. Amesema Mtume (sallallahu alaihi wasallam): “Siku ya Jumu’ah ni sayyidul ayyaam (yaani kiongozi wa siku zote na ni siku kubwa zaidi (kuliko siku …
Soma Zaidi »