9. Ni Mustahab kwa wale wanaokusudia kuchinja kutokukata kucha zao wala kukata nywele zao kwanzia mwanzo wa mwezi wa Dhul Hijjah hadi mnyama achinjwe. Ummu Salamah (Radhiyallahu anha) anaripoti kwamba Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Yule anayekusudia kuchinja anapaswa aache kukata nywele zake na kukata kucha zake tangu mwezi wa …
Soma Zaidi »Monthly Archives: May 2025
Umuhimu Ma Mtoto Kubaki Katika Mazingira Mazuri
Katika malezi ya mtoto, ni muhimu sana kwa wazazi kuhakikisha kuwa mtoto wao daima anakua katika mazingura ya wacha mungu na huwekwa wazi kwa mazingira mazuri. Mazingira mazuri na ushirika wa dini yataacha hisia kubwa juu ya moyo wa mtoto ambayo baadaye itaunda mawazo yake na kuunda mtazamo wake katika …
Soma Zaidi »Dua Ya Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) Ikikubaliwa
Katika hafla moja, Arwa Bint Uwais, jirani wa Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu), alifika kwa Muhammad bin’ Amr bin Hazm (Rahimahullah) na malalamiko ya jirani yake, Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu). Alidai kwamba alikuwa amejenga ukuta wake katika sehemu yake na akamuliza Muhammad bin ‘Amr (Rahimahullah) aende kwake kuongea naye …
Soma Zaidi »Imani ya Ahlus Sunnah Wal Jamaa’ah Kuhusu Dajjaal
Fitnah za kuenea za Dajjaal vipo katika vitabu vya Aqaa’id (imani za Kiisilamu). Ulama wa aqida wanamakubaliano kwamba kuamini katika kutokea kwa Dajjaal ni katika Aqida ya Ahlus Sunnah Wal Jamaa’ah. Ahaadith ambazo Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) alikuwa ameonya Ummah kuhusu Fitnah za Dajjaal ni nyingi sana kwamba vitabu vya …
Soma Zaidi »Sunna Na Adabu Za Dhul Hijjah 4
7. Siku ya Arafah, mtu anapaswa kujihusisha na Dua. Siku hii ni Siku ya Barakah, iliyobarikiwa zaidi kuliko siku zingine kumi za Dhul Hijjah. Inaripotiwa kwamba Ali (Radhiyallahu anhu) alisema kuwa katika siku hii, Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) huwaachisha watu huru kutoka Moto wa Jahannum zaidi kuliko siku nyingine yoyote. …
Soma Zaidi »Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) Akijumuishwa kati ya washiriki wa Badr
Kabla ya Vita vya Badr, wakati Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) alipogundua kwamba msafara wa biashara wa Quraish, uliojaa na mali wao, ulikuwa umeondoka kwenda Shaam (Syria) na ulikuwa umetokea Makkah Mukarramah, alimtuma Talhah bin Ubaidullah na Saeed bin zaid (Radhiyallahu anhuma) kukusanya habari kuhusu msafara. Hii ilikuwa usiku kumi kabla …
Soma Zaidi »Sunna Na Adabu Za Dhul Hijjah 3
5. Ni Mustahab kwa mtu (ambaye hayuko katika Ihraam) kufunga siku ya Arafah yaani 9 ya Dhul Hijjah. Mbali na kupokea thawabu ya mwaka mmoja, dhambi za miaka miwili pia zitasamehewa. Abu Qataadah(Radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba Sahaabi mmoja aliwahi kumuuliza Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam), “Ewe Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam), mtu …
Soma Zaidi »Abdur Rahmaan bin Auf (Radhiyallahu ‘Anhu) Akiwahudumia Wake Wa Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) Katika Safari Ya Hajj
Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) alisema, “Kwa kweli, yule anayewatunza wake zangu baada ya kufariki kwangu ni mtu wa kweli na mcha Mungu.” Baada ya Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) kufariki, Abdur Rahmaan bin Auf (Radhiyallahu ‘anhu) alikuwa akiwahudumia mara kwa mara Azwaaj mutahharaat ( Wake wa Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam)). Hivyo …
Soma Zaidi »Sunna Na Adabu Za Dhul Hijjah 2
3. Jitahidi kufanya ibaadah nyingi iwezekanavyo wakati katika siku kumi za kwanza za dhul hijjah. Kufanya Ibaadah katika hizi siku utapata thawabu sawa sawa na kufanya Ibaadah ndani ya Lailatul Qadr. Abu Hurairah (Radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Hakuna siku ndani ya mwaka ambayo Ibada inapendwa …
Soma Zaidi »