9. Ni Mustahab kwa wale wanaokusudia kuchinja kutokukata kucha zao wala kukata nywele zao kwanzia mwanzo wa mwezi wa Dhul Hijjah hadi mnyama achinjwe. Ummu Salamah (Radhiyallahu anha) anaripoti kwamba Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Yule anayekusudia kuchinja anapaswa aache kukata nywele zake na kukata kucha zake tangu mwezi wa …
Soma Zaidi »Sunna Na Adabu Za Dhul Hijjah 4
7. Siku ya Arafah, mtu anapaswa kujihusisha na Dua. Siku hii ni Siku ya Barakah, iliyobarikiwa zaidi kuliko siku zingine kumi za Dhul Hijjah. Inaripotiwa kwamba Ali (Radhiyallahu anhu) alisema kuwa katika siku hii, Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) huwaachisha watu huru kutoka Moto wa Jahannum zaidi kuliko siku nyingine yoyote. …
Soma Zaidi »Sunna Na Adabu Za Dhul Hijjah 3
5. Ni Mustahab kwa mtu (ambaye hayuko katika Ihraam) kufunga siku ya Arafah yaani 9 ya Dhul Hijjah. Mbali na kupokea thawabu ya mwaka mmoja, dhambi za miaka miwili pia zitasamehewa. Abu Qataadah(Radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba Sahaabi mmoja aliwahi kumuuliza Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam), “Ewe Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam), mtu …
Soma Zaidi »Sunna Na Adabu Za Dhul Hijjah 2
3. Jitahidi kufanya ibaadah nyingi iwezekanavyo wakati katika siku kumi za kwanza za dhul hijjah. Kufanya Ibaadah katika hizi siku utapata thawabu sawa sawa na kufanya Ibaadah ndani ya Lailatul Qadr. Abu Hurairah (Radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Hakuna siku ndani ya mwaka ambayo Ibada inapendwa …
Soma Zaidi »Dhul hijjah
Zul Hijjah ni miongoni ya miezi minne takatifu ndani ya kalenda ya Kiisilamu. Miezi minne takatifu ni Dhul Qa’dah, Dhul Hijjah, Muharram na Rajab. Thawabu za matendo mema yatakayofanywa katika hizi miezi zitaongezeka, na dhambi zilizofanywa katika miezi hizi pia huhesabiwa kuwa mabaya zaidi. Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) anasema: إِنَّ …
Soma Zaidi »