Monthly Archives: October 2024

Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 6

18. Ukiingia kwenye mkusanyiko wenye mazungumzo au majadiliano ya Dini inafanyika, hupaswi kutoa salaam kwa sababu hili litamsumbua mwenye kuongea pamoja na wale waliohudhuria mkusanyiko huo. 19. Ikiwa mtu amezama katika mazungumzo au anajihusisha na baadhi ya mambo basi ni bora mtu asimsalimie. Lakini, ikiwa mtu anajua kwamba hatokuwa na …

Soma Zaidi »

Kumcha Allah Taala

Qataadah (rahimahullah) anasimulia kwamba Abu Ubaidah (Radhiya Allaahu ‘anhu) alikuwa akisema, (kwa khofu ya kusimama mbele ya Allah Ta’ala Siku ya Qiyaamah na kutoa hesabu ya matendo yake): وددت أني كنت كبشا، فيذبحني أهلي، فيأكلون لحمي، ويحسون مرقي. “Jinsi ninavyotamani ningekuwa kondoo tu. Wamiliki wangu wangenichinja, kula nyama yangu na …

Soma Zaidi »

Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 5

13. Unapotoka nyumbani, toka nyumbani na salamu. Qataadah (radhiyallahu anhu) ameripoti kuwa Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Mkiingia nyumbani, basi wapeni salamu waliomo ndani yake, na unapotoka (nyumbani), basi acha salamu yako kama amana kwa watu wa nyumbani kwako (yaani salamu kwa watu unapoondoka).”[1] Maelezo: Nabii (sallallahu alaihi wasallam) ametufundisha …

Soma Zaidi »