Monthly Archives: December 2025

Abu Dhar (Radhiyallahu ‘Anhu) Anafanana Na Nabi Isa (‘ Alaihis salaam) Rasulullah (Sallallahu ‘Alaihi Wasallam) alisema, “Yoyote anayetaka kumtazama Isa bin Maryam (‘ Alaihis Salaam) katika uchamungu wake, ukweli wake, na kujitolea kwake (katika Ibaadah), basi anapaswa kumtazama Abu Dharr (kwa sababu Abu dharr anamiliki sifa ambazo zinafanana na Nabi …

Soma Zaidi »