عن عمار بن ياسر رضي الله عنه قال قال رسول الله صلى الله عليه و سلم إن الله وكل بقبري ملكا أعطاه الله أسماء الخلائق وفي رواية أسماع الخلائق فلا يصلي علي أحد إلى يوم القيامة إلا أبلغني باسمه واسم أبيه هذا فلان بن فلان قد صلى عليك – (رواه …
Soma Zaidi »Monthly Archives: September 2021
Adhaan – Ilivyo anzishwa na asili yake
Wakati sayyidina Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) Alifanya hijra (alihamia) kwenda madina munawwarah, aliwasiliana na maswahaaba (radhiyallahu ‘anhum) Kuhusu njia itakayochukuliwa ya kuwaita watu kwenye swala. Ilikuwa hamu iliyokuwa ndani ya moyo wa sayyidina Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kwamba maswahaaba (radhiyallahu ‘anhum) wote wakusanyike na kutekeleza swala zao pamoja msikitini. Sayyidina …
Soma Zaidi »Imani kumhusu Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam)
1. Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) Ni Nabii wa mwisho na muhuri wa utume wote. Baada yake, hakuna Nabii mpya atakayetumwa ulimwenguni kuongoza taifa lolote. Ikiwa mtu yoyote anaamini kwamba kuna mjumbe mpya atakayekuja baada ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam), atakuwa kafiri na atatoka kwenye Uislamu. 2. Deen ya kiislaam ambaye …
Soma Zaidi »Malaika wanasafiri duniani kukusanya salaam.
Abdullah Bin Ma'sood (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kuwa Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) Kasema, "hakika, Allah subhaana wata'ala ana kundi la malaika wanaotangatanga (kote ulimwenguni ili waweze kutafuta mikusanyiko ya watu wakimswalia Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam)) na kufikisha salaam za umma wangu kwangu."
Soma Zaidi »Nyakati ambazo miswaak inapaswa kutumiwa
7. Wakati mtu anahisi maumivu ya kifo (sakaraatul maut). عن عائشة رضي الله عنها قالت دخل عبد الرحمن بن أبي بكر ومعه سواك يستن به فنظر إليه رسول الله صلى الله عليه وسلم فقلت له أعطني هذا السواك يا عبد الرحمن فأعطانيه فقصمته (وفي رواية وطيبته) ثم مضغته فأعطيته رسول …
Soma Zaidi »Njia ambayo Allah subhaana wata’ala anawashughulikia viumbe
6. Kila uwamuzi wa Allah subhaana wata’ala Una hekima, ingawa mwanadamu hawezi kuelewa hekima iliyo nyuma ya uwamuzi wa Allah subhaana wata’ala Kwa hivyo, mwanadamu anapaswa kufurahishwa na uwamuzi wa Allah subhaana wata’ala Wakati wote.[1] 7. Hakuna kitu kinachoweza kutokea kwa binaadamu bila idhini ya Allah subhaana wata’ala Bila idhini …
Soma Zaidi »Madhambi yatakuwa yamefutwa
عن أبي بردة بن نيار رضي الله عنه قال قال رسول الله صلي الله عليه وسلم من صلى علي من أمتي صلاة مخلصا من قلبه صلى الله عليه بها عشر صلوات ورفعه بها عشر درجات وكتب له بها عشر حسنات ومحا عنه عشر سيئات (السنن الكبرى للنسائى، الرقم: 9809، ورواته …
Soma Zaidi »Nyakati ambazo miswaak inapaswa kutumiwa
5. Meno yanapobadilika rangi au harufu mbaya hutoka mdomoni.
Imeripotiwa kutoka kwa Sayyidina ja'far (radhiallahu anhu) Kwamba wakati mmoja, sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alihutubia watu fulani akisema, "kuna nini mpaka nyie mnakuja kwangu katika hali ambayo naona meno yenu kuwa ni ya njano? Na Nimewashauri kusafisha meno yenu na miswaak." Sayyidina Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) kisha akasema, "kama isingekuwa hofu ya umma wangu kupata shida, hakika ningewaamuru (na kuilazimisha) watumie miswaak wakati wa kila salaa (hata hivyo, kutumia miswaak sio lazima lakini ni sunnah iliyosisitizwa wakati wa wudhu)".
Soma Zaidi »Njia ambayo Allah subhaana wata’ala anawashughulikia viumbe.
1. Allah subhaana wata’ala ni mwingi wa rehema kwa waja wake. Yeye ni mwenye kupenda Sana, na nimvumilivu. Yeye ndiye anayesamehe dhambi na kukubali toba. 2. Allah subhaana wata’ala ni mwadilifu kabisa. Hamuonei kiumbe wowote kwa kiwango cha hata chembe. 3. Allah subhaana wata’ala amempa mwanadamu ufahamu na uwezo wa …
Soma Zaidi »Vyeo kumi vilivyoinuliwa
عن أنس بن مالك قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم من صلى علي صلاة واحدة صلى الله عليه عشر صلوات وحطت عنه عشر خطيئات ورفعت له عشر درجات (سنن النسائي، الرقم: ١٢٩٧، وسنده حسن كما في المطالب العالية ١٣/٧٨٥) Sayyidina Anas Binn maalik (radhiyallahu ‘anhu) Anaripoti kwamba Rasulullah …
Soma Zaidi »