Njia ambayo Allah subhaana wata’ala anawashughulikia viumbe.

1. Allah subhaana wata’ala ni mwingi wa rehema kwa waja wake. Yeye ni mwenye kupenda Sana, na nimvumilivu. Yeye ndiye anayesamehe dhambi na kukubali toba.

2. Allah subhaana wata’ala ni mwadilifu kabisa. Hamuonei kiumbe wowote kwa kiwango cha hata chembe.

3. Allah subhaana wata’ala amempa mwanadamu ufahamu na uwezo wa kuchaguwa kati ya mema na mabaya. Allah subhaana wata’ala hufurahishwa na wale waumini ambao hufanya matendo mema kwa kumridhisha, na hukasirika na wale wanaotenda madhambi.

4. Allah subhaana wata’ala ni mmiliki wa heshima na ukuu kabisa. Allah subhaana wata’ala ana nguvu kamili juu ya kila kitu, na hakuna kitu kinachoweza kuathiri nguvu na uamuzi wake. Anaumpa heshima amtakaye, na anamfedhehesha amtakaye. Allah subhaana wata’ala anafanya chochote anachotaka na hajibiki kwa kiumbe wowote.

5. Allah subhaana wata’ala Ndiye mtunzaji pekee na mtoaji wa kila kiumbe. Anampunguzia rizki amtakaye, na anamwongezea rizki amtakaye.


[14] وَرَحْمَتىْ وَسِعَتْ كُلَّ شَىءٍ (سورة الاعراف: 156)

إِنَّ اللّٰـهَ يَغْفِرُ الذُّنُوْبَ جَمِيْعًا ۚ  إِنَّهُ هُوَ الغَفُوْرُ الرَّحِيْمُ  (سورة الزمر: 53)

(ويغفر ما دون ذلك لمن يشاء من الصغائر والكبائر) مع التوبة أو بدونها (شرح العقائد النسفية  صـ 142)

[15] إِنَّ اللّٰـهَ لا يَظْلِمُ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ (سورة النساء: 40)

إنه لا يظلم أحدا إثبات أنه عدل في حكمه (الأسماء والصفات للبيهقي 1/108)

[16] وللعباد أفعال اختيارية يثابون بها ويعاقبون عليها (العقائد النسفية صـ 113)

وَهَدَيْنٰهُ النَّجْدَيْنِ (سورة البلد: ١٠)

[17] مَنْ كَانَ يُرِيْدُ الْعِزَّةَ فَلِلّٰـهِ الْعِزَّةُ جَمِيْعًا (سورة فاطر: 10)

وَتُعِزُّ مَنْ تَشَاءُ وَتُذِلُّ مَنْ تَشَاءُ (سورة آل عمران: 26)

لا يُسْـَٔلُ عَمَّا يَفْعَلُ وَهُمْ يُسْـَٔلُوْنَ (سورة الأنبياء: 23)

إِنَّ رَبَّكَ فَعَّالٌ لِما يُريدُ (سورة هود: 107)

ذلك بأنه على كل شيء قدير وكل شيء إليه فقير وكل أمر عليه يسير لا يحتاج إلى شيء (العقيدة الطحاوية صـ 26)

[18] اللَّـهُ يَبْسُطُ الرِّزْقَ لِمَنْ يَشَاءُ وَيَقْدِرُ (سورة الرعد: 26)

خالق بلا حاجة رازق لهم بلا مؤنة (العقيدة الطحاوية صـ 25)

About admin

Check Also

Imani kuhusu Malaika

1. Malaika ni viumbe vya Allah subhaana wata’ala visivyo na dhambi na wameumbwa kutokana na …