Monthly Archives: November 2021

Njia ya Sunna ya kuita adhana.

4. Toa adhana kwa sauti ya juu.[1] عن عبد الله بن زيد رضي الله عنه قال … فأخبرته بما رأيت فقال إنها لرؤيا حق إن شاء الله فقم مع بلال فألق عليه ما رأيت فليؤذن به فإنه أندى صوتا منك (سنن أبي داود، الرقم: 499)[2] Sayyidina Abdullah bin Zaid (radhiyallahu …

Soma Zaidi »

Laana ya Jibra’eel (alahis salaam) na Nabii wa allah subhaana wata’ala

عن كعب بن عجرة قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: احضروا المنبر فحضرنا فلما ارتقى درجة قال: آمين فلما ارتقى الدرجة الثانية قال: آمين فلما ارتقى الدرجة الثالثة قال: آمين فلما نزل قلنا: يا رسول الله لقد سمعنا منك اليوم شيئا ما كنا نسمعه قال: إن جبريل عليه …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana

1. Hakikisha kwamba nia yako ya kuita adhaan ni kumridhisha Allah subhaana wata’ala pekee yake. فعن ابن عباس رضي الله عنهما أن النبي صلى الله عليه وسلم قال من أذن سبع سنين محتسبا كتبت له براءة من النار (سنن الترمذي، الرقم: ٢٠٦)[1] Sayyidina Ibnu Abbas (radhiyallahu ‘anhuma) anaripoti kwamba Rasulullah …

Soma Zaidi »

Imani kuhusu Maandiko matukufu

1. Allah subhaana wata’ala aliteremsha vitabu vingi vitukufu na maandiko kwa manabii (alahimus salaam) mbalimbali kwa ajili ya mwongozo wa watu wao. Tumefahamishwa baadhi ya vitabu na maandiko haya ya Allah subhaana wata’ala ndani ya Qur’ani Tukufu na Hadithi mubaraka, na mengine hatujafahamishwa.[1] 2. Tunaleta Imaan katika vitabu na maandiko …

Soma Zaidi »

Kuacha kitendo kinachompeleka mtu Jannah.

عن حسين بن علي رضي الله عنهما قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم من ذكرت عنده فخطىء الصلاة علي خطىء طريق الجنة (المعجم الكبير للطبراني، الرقم: 2887، وقال المناوي في فيض القدير (2/232) تحت حديث من نسي الصلاة علي خطئ طريق الجنة: لكن انتصر له ابن الملقن فقال: …

Soma Zaidi »

Sifa za Muadhini

1. Muadhin anatakiwa awe mwanamume.[1] عن ابن عمر رضي الله عنهما قال ليس على النساء أذان ولا إقامة (السنن الكبرى للبيهقي، الرقم: 1996)[2] Imepokelewa kwamba Sayyidina Ibnu Umar (radhiyallahu ‘anhu) amesema, “kutowa adhana na iqaamah si jukumu la mwanamke. 2. Awe na akili timamu.[3] 3. Awe na umri wa kuelewa. …

Soma Zaidi »

Fadhila za Muaddhin

9. Ilikuwa ni matamanio ya sahaaba (radhiyallahu ‘anhum) kutoa adhana na walitamani watoto wao pia watoe adhana. Chini kuna baadhi ya hadithi zinazoonyesha shauku ya sahaaba (radhiyallahu ‘anhum) kutoa adhaan: Hamu ya Sayyidina Ali (radhiyallahu ‘anhu) kwa Sayyidina Hasan (radhiyallahu ‘anhu) na Sayyidina Husein (radhiyallahu ‘anhu) kutoa adhana: عن علي …

Soma Zaidi »

Bahili wa kweli

Sayyidina Husain (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, "bakhili wa kweli ni yule ambaye jina langu linatajwa mbele yake, lakini hanitumii salamu."

Kushindwa kuandika salamu juu ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam)

Sayyidina Hasan bin Moosa Al-Had rami (rahimahullah) , ambaye anajulikana sana kama Ibnu Ujainah (rahimahullah) anaeleza:

Soma Zaidi »

Fadhila za Muaddhin

6. Muadhin ameelezwa kwenye Hadithi kuwa amehesabiwa kuwa waja bora wa Allah subhaana wata’ala. فعن ابن أبي أوفى رضي الله عنه قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم إن خيار عباد الله الذين يراعون الشمس والقمر والنجوم والأظلة لذكر الله (المستدرك على الصحيحين للحاكم، الرقم: ١٦٣، وإسناده صحيح كما …

Soma Zaidi »