18. Mtu asianze kumchuna mnyama huyo mpaka kusiwe na dalili ya uhai iliyosalia katika mwili. 19. Wakati wa kuchinja mtu asome tasmiyah kwa namna ifuatayo: بِسمِ اللهِ اللهُ أكْبَر Kwa jina la Allah Ta’ala, na Allah Ta’ala ndiye mkubwa zaidi. 20. Kabla ya kuchinja ni sunna kwa mtu kusoma dua …
Soma Zaidi »Sunna na Adabu za Kuchinja – Sehemu ya 3-
11. Ikiwa mtu ana uwezo, ni bora kwake kuchinja mnyama mwenyewe. Ikiwa hili haliwezekani, basi angalau ashuhudie mnyama wake akichinjwa, mradi tu hijaab inazingatiwa kati ya wanaume na wanawake (yaani kuingiliana kusifanyike). عن علي رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه و سلم قال يا فاطمة قومي فاشهدي …
Soma Zaidi »Sunna na Adabu za Kuchinja – Sehemu ya 2-
6. Ni sunna kwa mtu kujiepusha na kula chochote asubuhi wa Idul Adha (idi kubwa) mpaka arudi kutoka katika swala ya Idi. عن ابن بريدة عن أبيه رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه و سلم كان لا يخرج يوم الفطر حتى يأكل . وكان لا يأكل يوم …
Soma Zaidi »Sunna na Adabu za Kuchinja (kwenye siku ya idi kubwa)
1. Kuchinja ni ibaada kubwa na yenye thawabu nyingi katika Dini. Ndani ya Qur-aan Tukufu, kumetajwa kuhusu ibaada ya Kuchinja, na fadhila zake nyingi na umuhimu wake umesisitizwa katika Hadithi ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam). Allah Ta’ala Anasema: لَن يَنَالَ اللَّـهَ لُحُومُهَا وَلَا دِمَاؤُهَا وَلَـٰكِن يَنَالُهُ التَّقْوَىٰ مِنكُمْ Si nyama …
Soma Zaidi »