Monthly Archives: December 2021

Kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) wakati wa Kuingia na Kutoka Msikitini

Faatimah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba wakati Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alikua akiingia msikitini, alikua akituma salaam na baada ya hapo alikuwa akisoma dua ifuatayo:

Ewe Mola wangu, nisamehe dhambi zangu na nifungulie milango ya rehema zako.

Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) pindi anapotoka msikitini, alikuwa akituma salaam na kisha akisoma dua ifuatayo:

Soma Zaidi »

Maneno Ya Adhaan.

Kuna aina saba ya misemo katika adhaan. Misemo saba ni hizi zimetajwa hapa chini kwa utaratibu maaluum: 1. Kwanza toa Kwa sauti ya juu: اَللهُ أَكْبَرَ اللهُ أَكْبَرْ Mwenyezi Mungu ndiye mkubwa zaidi, Mwenyezi Mungu ndiye mkubwa zaidi. اَللهُ أَكْبَرَ اللهُ أَكْبَرْ Mwenyezi Mungu ndiye mkubwa zaidi, Mwenyezi Mungu ndiye …

Soma Zaidi »

Tafseer Ya Surah Dhuha

بِسْمِ ٱللَّـهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ وَالضُّحٰى ﴿١﴾ وَالَّيْلِ إِذَا سَجٰى ﴿٢﴾ مَا وَدَّعَكَ رَبُّكَ وَمَا قَلٰى ﴿٣﴾ وَلَلْـاخِرَةُ خَيْرٌ لَّكَ مِنَ الْاُولٰى ﴿٤﴾ وَلَسَوْفَ يُعْطِيكَ رَبُّكَ فَتَرْضٰى ﴿٥﴾ اَلَمْ يَجِدْكَ يَتِيمًا فَـاوٰى ﴿٦﴾ وَوَجَدَكَ ضَآلًّا فَهَدٰى ﴿٧﴾ وَوَجَدَكَ عَآئِلًا فَاَغْنٰى ﴿٨﴾ فَاَمَّا الْيَتِيمَ فَلَا تَقْهَرْ ﴿٩﴾ وَاَمَّا السَّآئِلَ فَلَا تَنْهَرْ ﴿١٠﴾ …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana.

15. Ikiwa uko mahali nje ya mji ambapo hakuna mtu wakuswali pamoja naye, basi hata kama utaswali peke yako, bado unapaswa kutoa adhaan na iqaamah. Ukitoa adhaan na iqaamah na baada ya hapo ukaswali basi Malaika wataswali pamoja na wewe.[1] عن عقبة بن عامر رضي الله عنه قال سمعت رسول …

Soma Zaidi »

Kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) mara Mia baada ya Al fajiri na Maghrib.

عن جابر رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: من صلى علي مائة صلاة حين يصلي الصبح قبل أن يتكلم قضى الله تعالى له مائة حاجة يعجل له منها ثلاثين ويدخر له سبعين وفي المغرب مثل ذلك قالوا: وكيف الصلاة عليك يا رسول الله قال: إن …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana

12. Usipotoshe maneno ya adhaan au kutoa adhaan kwa sauti ambayo maneno ya adhana hupotoshwa.[1] عن يحيى البكاء قال قال رجل لابن عمر رضي الله عنهما إني لأحبك في الله فقال ابن عمر رضي الله عنهما لكني أبغضك في الله قال ولم قال إنك تتغنى في أذانك وتأخذ عليه أجرا …

Soma Zaidi »

Imani kuhusu siku ya Qiyaamah

1. Siku ya qiyaamah itakuwa siku ya Ijumaa. Hii itakuwa siku ya mwisho ya dunia hii. Allah subhaana wata’ala ataangamiza ulimwengu huu wote. Isipokuwa Allah subhaana wata’ala, hakuna anaejua tarehe kamili ambayo ulimwengu utaisha.[1] 2. Allah subhaana wata’ala atamuamrisha Israfeel (alahis salaam) kupuliza baragumba yenye umbo la pembe. Sauti ya …

Soma Zaidi »

Kumswalia Nabii Wa Allah Subhaana Wata’ala Asubuhi Na Jioni

عن أبي الدرداء رضي الله عنه قال قال رسول الله صلى الله عليه و سلم من صلى علي حين يصبح عشرا وحين يمسي عشرا أدركته شفاعتي يوم القيامة رواه الطبراني بإسنادين أحدهما جيد (الترغيب و الترهيب رقم 987) Sayyidina Abu Dardaa (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kuwa Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kasema, …

Soma Zaidi »

Njia ya Sunna ya kuita adhana.

8. Toa adhaan polepole na usimame baada ya kusema kila neno la adhaan.[1] عن جابر رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال لبلال إذا أذنت فترسل… (سنن الترمذي، الرقم: 195)[2] Sayyidina Jaabir (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alimuhutubia Bilaal (radhiyallahu ‘anhu) akisema, “unapotoa …

Soma Zaidi »

Imani kuhusu taqdeer (kutabiriwa)

1. Taqdeer inahusu elimu kamili ya Allah subhaana wata’ala Yaani Allah subhaana wata’ala ana ujuzi kamili wa kila kitu na kila tukio kabla ya kutokea, liwe zuri au baya, au tukio la zamani, sasa hivi au la baadaye.[1] 2. Allah subhaana wata’ala amewapa wanadamu uwezo wa kutenda mema na mabaya. …

Soma Zaidi »