Salaam

Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 2

4. Unatakiwa kutoa salaam kwa kusema “Assalaamu alaikum” unaweza pia kutoa salaam kwa kusema “Assalaamu alaikum wa rahmatullah” au “Assalaamu alaikum wa rahmatullahi wa barakaatuhu”. Kwa kutoa salaam ndefu, utapata thawabu zaidi. Imraan bin Husein (radhiyallahu anhu) anasimulia kwamba mtu mmoja alikuja kwa Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) na akamsalimia akisema: …

Soma Zaidi »

Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 1

1. Unapokutana na ndugu yako Muislamu, muamkie kwa kutoa salaam. Ali (Radhiya Allaahu ‘anhu) anaripoti kwamba Mtume (sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Muislamu ana haki sita juu ya ndugu yake Mwislamu. Akikutana naye amsalimie (kwa kutoa salaam); akimwalika, akubali mwaliko wake; anapotoa chafya (na kusema alhamdulillah), ajibu chafya yake kwa kusema …

Soma Zaidi »

Fadhila Za Kutoa Salaam

Fadhila Ya Kutoa Salaam Wakwanza Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) anasimulia kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Mwenye kutoa salaam wakwanza hana kiburi.” Jinsi ya Kuunda Upendo Kati Yetu Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Mtume (sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Hamtaingia Peponi mpaka mlete Imaan, na huwezi …

Soma Zaidi »

Salaam

Salaam ni kumsalimia muislamu. Kama vile Uislamu unavyosimamia amani, maamkizi ya Uislamu ni salamu ya amani na kueneza ujumbe ya amani. Salaam ni moja ya mila za kiislamu ambazo ni sifa ya Muislamu na umuhimu wake umesisitizwa sana katika hadith ya mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam). Abdullah bin Salaam (radhiyallahu ‘anhu) …

Soma Zaidi »