1. Siku ya qiyaamah itakuwa siku ya Ijumaa. Hii itakuwa siku ya mwisho ya dunia hii. Allah subhaana wata’ala ataangamiza ulimwengu huu wote. Isipokuwa Allah subhaana wata’ala, hakuna anaejua tarehe kamili ambayo ulimwengu utaisha.[1] 2. Allah subhaana wata’ala atamuamrisha Israfeel (alahis salaam) kupuliza baragumba yenye umbo la pembe. Sauti ya …
Soma Zaidi »Imani kuhusu taqdeer (kutabiriwa)
1. Taqdeer inahusu elimu kamili ya Allah subhaana wata’ala Yaani Allah subhaana wata’ala ana ujuzi kamili wa kila kitu na kila tukio kabla ya kutokea, liwe zuri au baya, au tukio la zamani, sasa hivi au la baadaye.[1] 2. Allah subhaana wata’ala amewapa wanadamu uwezo wa kutenda mema na mabaya. …
Soma Zaidi »Imani kuhusu Maandiko matukufu
1. Allah subhaana wata’ala aliteremsha vitabu vingi vitukufu na maandiko kwa manabii (alahimus salaam) mbalimbali kwa ajili ya mwongozo wa watu wao. Tumefahamishwa baadhi ya vitabu na maandiko haya ya Allah subhaana wata’ala ndani ya Qur’ani Tukufu na Hadithi mubaraka, na mengine hatujafahamishwa.[1] 2. Tunaleta Imaan katika vitabu na maandiko …
Soma Zaidi »Imani kuhusu Malaika
1. Malaika ni viumbe vya Allah subhaana wata’ala visivyo na dhambi na wameumbwa kutokana na nuru. Malaika hawaonekani kwetu, na sio wanaume wala sio wanawake. Hawana mahitaji yoyote kama wanadamu kama vile kula, kunywa, kulala n.k.[1] 2. Allah subhaana wata’ala amewapa majukumu mbalimbali ya kutekeleza. Wanatimiza kama waliyowaamrishwa na Allah …
Soma Zaidi »Imani Kuhusu Ambiyaa (alaihimus salaam)
1. Allah subhaana wata’ala alituma ambiyaa wengi (alaihimus salaam) (manabii) ulimwenguni kuwaongoza wanadamu kwenye njia iliyonyooka.[1] 2. Utume hupewa na Allah subhaana wata’ala Allah subhaana wata’ala huchagua kutoka kwa waja wake yoyote yule anayetaka kwa kazi hii kubwa. Utume huwezi kupatikana na mtu yoyote kupitia matendo na juhudi zake mwenyewe.[2] …
Soma Zaidi »Imani kumhusu Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam)
4. Allah subhaana wata’ala alikuwa amembariki Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) na vyeo vya juu ikilinganishwa na wengine. Kutokana na matokeo yote na manabii (sallallahu ‘alaihi wasallam) ambao walikuja ulimwenguni, Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alikuwa mkuu kwa kiwango na aliyependwa zaidi kwa Allah subhaana wata’ala Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alibarikiwa na …
Soma Zaidi »Njia ambayo Allah subhaana wata’ala anawashughulikia viumbe
6. Kila uwamuzi wa Allah subhaana wata’ala Una hekima, ingawa mwanadamu hawezi kuelewa hekima iliyo nyuma ya uwamuzi wa Allah subhaana wata’ala Kwa hivyo, mwanadamu anapaswa kufurahishwa na uwamuzi wa Allah subhaana wata’ala Wakati wote.[1] 7. Hakuna kitu kinachoweza kutokea kwa binaadamu bila idhini ya Allah subhaana wata’ala Bila idhini …
Soma Zaidi »Njia ambayo Allah subhaana wata’ala anawashughulikia viumbe.
1. Allah subhaana wata’ala ni mwingi wa rehema kwa waja wake. Yeye ni mwenye kupenda Sana, na nimvumilivu. Yeye ndiye anayesamehe dhambi na kukubali toba. 2. Allah subhaana wata’ala ni mwadilifu kabisa. Hamuonei kiumbe wowote kwa kiwango cha hata chembe. 3. Allah subhaana wata’ala amempa mwanadamu ufahamu na uwezo wa …
Soma Zaidi »Imani kuhusu Allah subhaanawata’ala
7. Allah subhaana wata’ala hazuiliwi kwa nafasi au wakati. Badala yake, yeye ndiye muundaji wa nafasi na wakati.[1] 8. Allah subhaana wata’ala ni Mwenye nguvu na Anajua kila kitu. Hakuna kitu ambacho kinafichwa kutoka kwa maarifa yake.[2] 9. Hana udhaifu, mapungufu na kasoro yoyote. Yeye ni mkamilifu kabisa katika sifa …
Soma Zaidi »Imani kuhusu Allah subhaanawata’ala
Imani kuhusu uwepo na sifa za Allah subhaana wata’ala 1. Allah subhaana wata’ala ndiye pekee anayestahiki kuabudiwa.[1] 2. Kabla ya uumbaji wa ulimwengu wote, kila kitu hakikuwepo, badala ya Allah subhaana wata’ala Kisha akaumba kila kitu kutoka hali ya kutokuwepo. Badala ya Allah subhaana wata’ala, hakuna mtu mwingine aliye na …
Soma Zaidi »