Monthly Archives: July 2025

Nafasi ya hali ya juu ya Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) Mbele ya Abdullah bin Umar (Radhiyallahu ‘Anhuma)

Katika tukio moja, wakati Abdullah bin Umar (Radhiyallahu ‘Anhuma) alikuwa akijiandaa kwenda katika kuswali Jumuah, alisikia Kwamba mjomba wake, Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) alikuwa mgonjwa sana na alikuwa kwenye sakaratul mauti. Habari hii ilimfikia wakati alikuwa tayari amepaka manukato kwenye mwili wake na alikuwa karibu kuondoka nyumbani kwake kwenda …

Soma Zaidi »

Heshima ya Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) kwa Uthmaan (Radhiyallahu’ Anhu)

Inaripotiwa kuwa katika hafla moja, mtu alifika kwa Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) na akasema, “Nina upendo mkubwa kwa Ali (Radhiyallahu’ Anhu) moyoni mwangu hadi kwamba amna kitu kingine chochote ninachokipenda kama jinsi ninavyompenda.” Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) alimpongeza kwa ajili ya Upendo na heshima kwa Ali (Radhiyallahu ‘Anhu) …

Soma Zaidi »

Sunna na Adabu za kabla ya kula 2

7. Soma Bismillah au dua ifuatayo kabla ya kula. Ikiwa upo na familia yako, basi unaweza kuisoma dua kwa sauti kuwakumbusha.  بِسْمِ اللهِ وَبَرَكَةِ اللهِ Kwa jina la Allah (Ta’ala), na kwa baraka za Allah (Ta’ala).[1] 8. Wakati wa kula, ama kaa na magoti yote mawili juu ya ardhi (katika …

Soma Zaidi »

Kuwa Na Wasiwasi Juu ya Elimu ya Dini ya mtoto

Taifa lililobarikiwa na maarifa ya Dini na uelewa mzuri ni taifa linaloendelea na lenye msimamo mzuri na wa kuahidi baadaye. Kinyume chake, taifa lililonyimwa maarifa ya Deeni na uelewa mzuri ni taifa linaloelekea kwenye uharibifu na kutofaulu. Ni kwa sababu hii kwamba wakati Nabi yoyote alikuwa akipelekwa kwenye taifa yoyote, …

Soma Zaidi »

Sunna na Adabu za kabla ya kula 1

1. Daima hakikisha unakula chakula cha halaal. Jiepushe na kula chakula cha mashaka au cha Haraam.[1] 2. Kula na niya ya kupata nguvu ya kutimiza amri za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) na kushiriki katika ibada yake.[2] 3. Mtu anapaswa kukaa chini na kula. 4. Kutandika mkeka chini kabla ya kula. …

Soma Zaidi »