Monthly Archives: April 2025

Sunna na Aadaab za Jumu’ah 4

12. Jitahidi kumswalia Mtume (sallallahu alaihi wasallam) mara elfu moja siku ya Jumu’ah. Anas (Radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Yule ambaye ananitumia salaa na salaam mara elfu moja siku ya Jumu’ah, hatofariki hadi atakapoonyeshwa makazi yake peponi.”[1] 13. Ni Sunnah kusoma Surah A’ala (sabbihisma rabbikal a’laa) …

Soma Zaidi »

Kupokea Habari Njema Za Bahati Nzuri Na Msamaha Katika Ndoto

Usiku mmoja, Abdur Rahmaan bin Auf (Radhiyallahu ‘Anhu) alipoteza fahamu kwa muda mrefu wakati wa ugonjwa wake hadi wale walio karibu walidhani kwamba roho yake imeondoka. Walimfunika na kitambaa na wakaenda mbali naye. Mkewe, Ummu Kulthum bint ‘Uqbah, mara moja alitafuta msaada kwa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) kuvuta subira na …

Soma Zaidi »

Sunna na Aadaab za Jumu’ah 3

9. Ikiwezekana, kwenda msikitini kwa kutembea kuswali Jumu’ah. Kwa kila Hatua zitazochukuliwa, utapokea thawabu ya kufunga mwaka mmoja na kuswali Tahajjud kwa mwaka mmoja. Aws bin aws thaqafi (radhiallahu anhu) anasema, “Nilimsikia Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) akitaja, ‘Yule anayefanya ghusl siku ya Jumuah na anaenda mapema msikitini kwa kutembea, na …

Soma Zaidi »