Monthly Archives: November 2024

Fadhila za Jumu’ah

Kusamehewa Madhambi Kwa Kuswali Jumu’ah Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (radhiyallahu anhu) kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Madhambi yaliyotendwa baina ya Jumu’ah mbili, maadamu si madhambi makubwa, yatasamehewa na Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah) (kwa kuswali Jumu’ah zote mbili). Siku Maalum ya Waumini Ibnu Abbaas (radhiyallahu anhuma) anasimulia kwamba Mtume …

Soma Zaidi »

Rafiki wa Nabii Musa (alaihis salaam) katika Jannah

Katika Uislamu, kila tendo jema na tendo la haki lina uwezo kumunganisha mtu na Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah) na kumpatia malipo huko Akhera. Hata hivyo, kuna baadhi ya matendo maalum ambayo yana umuhimu maalum mbele ya Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah) na yanaweza kuwa njia ya mtu kupata wema wa dini …

Soma Zaidi »

Hofu Ya Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwamba Mali ya Dunia isimfanye Kuto kumcha Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah)

Wakati mmoja, Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu) alipokea dirham laki saba kutoka Hadhramawt. Usiku ule, alipopumzika ili alale, hakutulia, akigeuka huku na huko. Mke wake kuona wasiwasi wake, aliuliza, “Ni nini kinakusumbua?” Akajibu, “Mtu atawezaje kumfikiria Mola wake wakati ana mali nyingi nyumbani kwake? (yaani nahofia kuwa mali hii itasababisha nighafilike …

Soma Zaidi »

Dalili Za Qiyaamah 1

Ndani ya hadith Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alikuwa ametabiri matukio yatakayotokea kabla ya Qiyaamah. Aliutahadharisha ummah juu ya mitihani na misukosuko mbalimbali ambayo itawakumba katika sehemu tofauti na nyakati tofauti duniani. Pia aliwaonyesha njia ya uongofu na wokovu kupitia fitnah hizi. Huu ndio uzuri na ubora wa Dini ya Uislamu, …

Soma Zaidi »

Jumu’ah

Siku ya Jumu’ah ina umuhimu mkubwa katika Uislamu. Ni miongoni mwa neema kubwa za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah) juu ya ummah huu ni sifa adhimu ya Uislamu. Amesema Mtume (sallallahu alaihi wasallam): “Siku ya Jumu’ah ni sayyidul ayyaam (yaani kiongozi wa siku zote na ni siku kubwa zaidi (kuliko siku …

Soma Zaidi »

Talhah (radhiyallahu anhu) katika Vita vya Uhud

Zubair bin Awwaam (radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba katika tukio la Uhud, Mtume (sallallahu alaihi wasallam) alivaa vazi la kivita mara mbili. Wakati wa vita, Mtume (sallallahu alaihi wasallam) alikusudia kupanda juu ya jabali lakini kutokana na uzito wa zile vazi mbili, hakuweza kufanya hivyo. Kwa hiyo alimwomba Talhah (radhiyallahu anhu) …

Soma Zaidi »