Monthly Archives: September 2024

Fadhila Kubwa Ya Wazazi

Miongoni mwa neema kubwa za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aalah) juu ya mtu ni neema ya wazazi. Neema ya wazazi ni neema yenye thamani sana na isiyoweza kubadilishwa hadi kwamba inapewa kwa mtu mara moja tu katika maisha yake. Kama vile neema za zingine za maisha inatolewa mara moja tu kwa …

Soma Zaidi »

Tafseer Ya Surah Faatihah

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ ‎﴿١﴾‏ الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ ‎﴿٢﴾‏ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ ‎﴿٣﴾‏ مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ ‎﴿٤﴾‏ إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ ‎﴿٥﴾‏ اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ ‎﴿٦﴾‏ صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ ‎﴿٧﴾‏ Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola wa ulimwengu wote. Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu. Mfalme wa Siku ya kuhukumu. Wewe peke yako tunakuabudu, na Wewe …

Soma Zaidi »

Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 2

4. Unatakiwa kutoa salaam kwa kusema “Assalaamu alaikum” unaweza pia kutoa salaam kwa kusema “Assalaamu alaikum wa rahmatullah” au “Assalaamu alaikum wa rahmatullahi wa barakaatuhu”. Kwa kutoa salaam ndefu, utapata thawabu zaidi. Imraan bin Husein (radhiyallahu anhu) anasimulia kwamba mtu mmoja alikuja kwa Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) na akamsalimia akisema: …

Soma Zaidi »

Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 1

1. Unapokutana na ndugu yako Muislamu, muamkie kwa kutoa salaam. Ali (Radhiya Allaahu ‘anhu) anaripoti kwamba Mtume (sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Muislamu ana haki sita juu ya ndugu yake Mwislamu. Akikutana naye amsalimie (kwa kutoa salaam); akimwalika, akubali mwaliko wake; anapotoa chafya (na kusema alhamdulillah), ajibu chafya yake kwa kusema …

Soma Zaidi »