Monthly Archives: August 2024

Fadhila Za Kutoa Salaam

Fadhila Ya Kutoa Salaam Wakwanza Abdullah bin Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) anasimulia kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) alisema, “Mwenye kutoa salaam wakwanza hana kiburi.” Jinsi ya Kuunda Upendo Kati Yetu Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Mtume (sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Hamtaingia Peponi mpaka mlete Imaan, na huwezi …

Soma Zaidi »

Salaam

Salaam ni kumsalimia muislamu. Kama vile Uislamu unavyosimamia amani, maamkizi ya Uislamu ni salamu ya amani na kueneza ujumbe ya amani. Salaam ni moja ya mila za kiislamu ambazo ni sifa ya Muislamu na umuhimu wake umesisitizwa sana katika hadith ya mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam). Abdullah bin Salaam (radhiyallahu ‘anhu) …

Soma Zaidi »

Tamaa Ya Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) Kubarikiwa Na Chumba Kilichojaa Na Watu Kama Abu Ubaidah (Radhiya Allaahu ‘anhu)

Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) wakati fulani alikua amekaa pamoja na kundi la watu alipokuwa akiwahutubia na kuwauliza swali lifuatalo, “Niambieni nyinyi watu mnatamani kitu gani!” Mtu mmoja alisema: “mimi natamani chumba hiki kizima kijazwe na dirham (sarafu za fedha) na nizitoe zote katika Njia ya Allah Ta’ala.” Umar (Radhiya Allaahu …

Soma Zaidi »

Sunnah Na Adabu Za Kuwatembelea Marehemu 4

14. Wasaidie waliofiwa kwa kuwapelekea chakula nyumbani kwao. Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) amewafundisha Maswahaba (radhiyallahu ‘anhum) kuonesha huruma kwa wafiwa na kuwasaidia wakati wa huzuni zao. Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) aliwahimiza Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) kuandaa chakula na kupeleka kwa ajili ya familia, kwa sababu kupata msiba huu itakuwa vigumu …

Soma Zaidi »

Tukio La Mchamungu, Abdullah Bin Marzooq

Abdullah bin Marzooq (rahimahullah) alikuwa mja mchamungu wa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aalah)na alikuwa katika zama za Muhadditheen wakubwa, Sufyaan bin Uyainah na Fudhail bin Iyaadh (rahimahumullah). Mwanzoni, alikuwa na mwelekeo wakupenda dunia na hakujitolea kwenye mambo ya dini. Hata hivyo, Allah Ta‘ala akambariki na tawfeeq ya kutubia na kurekebisha maisha …

Soma Zaidi »

Uaminifu Mkubwa Wa Abu Ubaidah bin Jarrah (Radhiya Allaahu ‘anhu)

Baada ya kusilimu, watu wa Najraan walikuja kwa Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) na wakamwomba awapelekee mtu mwaminifu (anayeweza kuwafundisha Dini). Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) akawaambia: لأبعثن إليكم رجلا أمينا حق أمين “Nitawatumia mtu mwaminifu, hakika ni mwaminifu sana.” Katika hatua hiyo, Maswahaabah (Radhiya Allaahu ‘anhum) waliokuwepo wote walitamani kuwa wapokezi …

Soma Zaidi »

Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) Akiwapa Watoto Zake Majina Baada Ya Mashahidi Wa Maswahaabah (Radhiya Allaahu ‘anhum)

Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) aliwahi kutaja: “Hakika Talha bin ‘Ubaidillah (Radhiya Allaahu ‘anhu) anatoa majina ya Ambiyaa (‘Alaihimus salaam) kwa watoto zake, ambapo anajua kwamba hakutokuwa Nabii atakayekuja baada ya Nabii Muhammad (Sallallahu ‘alaihi wasallam). Kisha Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) akasema: “Natoa majina ya mashahidi (wa Maswahaabah) kwa wanangu ili …

Soma Zaidi »