kuamka

Dua za Sunnah Wakati wa Kuamka

Dua Ya Kwanza اَلْحَمْدُ لِلّٰهِ الَّذِيْ أَحْيَانَا بَعْدَ مَا أَمَاتَنَا وَإِلَيْهِ النُّشُوْرْ Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) aliyetujaalia maisha baada ya kufa na kwake Yeye tu tutarejeshwa. Dua Ya Pili اَلْحَمْدُ لِلّٰهِ الَّذِيْ عَافَانِيْ فِيْ جَسَدِيْ وَرَدَّ عَلَيَّ رُوْحِيْ وَأَذِنَ لِيْ بِذِكْرِهِ Sifa njema zote ni …

Soma Zaidi »

Sunna na Aadaab za Kuamka 1

  1. Mara tu unapoamka kutoka usingizini, sugua uso na macho yako kwa kutumia viganja vyako vyote viwili ili kuondoa athari za usingizi. 2. Baada ya kuamka, soma dua: اَلْحَمْدُ لِلّٰهِ الَّذِيْ أَحْيَانَا بَعْدَ مَا أَمَاتَنَا وَإِلَيْهِ النُّشُوْرْ Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) aliyetujaalia uhai baada …

Soma Zaidi »

KUAMKA

Kabla ya kulala, tunafundishwa kusoma dua za masnoon na kumdhukuru Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah). Miongoni mwa dua za mchana kabla ya kulala ni dua ifuatayo: اَللّٰهُمَّ بِاسْمِكَ أَمُوْتُ وَأَحْيٰى Ee Mwenyezi Mungu, kwa jina lako nitakufa na kuishi. Katika dua hii, usingizi umefanishwa na kifo, kutokana na ukweli kwamba wakati …

Soma Zaidi »