Kusafiri

Sunna Na Adabu Kusafiri 3

10. Waudumie watu vizuri wakati wa safari. Sahl bin Sa’d (radhiyallahu anhu) anasema kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) alisema: “Kiongozi wa watu safarini ni yule anayewahudumia (yaani kiongozi awatumikie watu wake, au yule anayetumikia wengine aheshimiwe kama kiongozi, ingawa anaonekana kuwa mtumishi kwa kuwatumikia wengine). Yule anayewapita wengine kwa kuwatumikia …

Soma Zaidi »

Sunna Na Adabu Kusafiri 1

1. Kabla ya kuanza safari (yaani kusafiri kwenda sehemu ambayo ni kilomita 78 au zaidi), mtu anatakiwa kuswali rakaa mbili. Swalaah hii inajulikana kama Swalaatus Safar. Mut’im bin Miqdaam (rahimahullah) anasimulia kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Hakuna kitendo ambacho mtu anaweza kukiacha pamoja na familia yake kabla ya kuanza …

Soma Zaidi »

Kusafiri

Dini ya Uislamu imewasilisha sheria na maamrisho, na sunna na adabu, ili kumfundisha mwanadamu jinsi ya kuishi katika hali zote. Kama vile Dini ya Uislamu imetoa muongozo kwa mtu anapokuwa katika mji wake, vivyo hivyo imempa muongozo wa namna ya kujishughulisha anapokuwa safarini. Kwa maneno mengine, Dini ya Uislamu ni …

Soma Zaidi »