Monthly Archives: September 2026

Sunna Na Adabu Kusafiri 2

8. Unaposafiri, hakikisha kwamba unabaki katika kundi la watu wema. Kubaki katika kundi la wachamungu kutakupa muhamasisho wa kubaki kwenye haki. 9. Ikiwa unasafiri katika kikundi, basi uwe na adabu na heshima katika mwenendo wako, na ikiwa una riziki za kutosha, basi gawa riziki yako na wenzako. Abu Sa’id (radhiyallahu …

Soma Zaidi »