Siku moja, kundi la maQurraa (wale waliokuwa wataalamu wa kusoma Qur-aan Majeed) kutoka Basrah walimjia Abdullah bin Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma) na kumwambia, “Kuna mchamungu mmoja anaishi katika eneo letu, ambaye mara nyingi hufunga na kutekeleza Swalah nyingi za Tahajjud. Yeye ni mchamungu sana kiasi kwamba kila mmoja wetu anatamani …
Soma Zaidi »
Alislaam Juhudi za Kuleta uislam ndani ya maisha yetu