Wakati mmoja, Zaid bin Thaabit (Radhiya Allaahu ‘anhu) alianza kupanda usafiri wake. Wakati Abdullah bin Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma) alipomwona akipanda usafiri wake, alikimbia haraka, akashika kamba wa mnyama huyo na kumsaidia kupanda mnyama wake. Kwa heshima ya Abdullah bin Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma), Zaid (Radhiya Allaahu ´anhu) akamwambia na …
Soma Zaidi »
Alislaam Juhudi za Kuleta uislam ndani ya maisha yetu