Kula

Dini ya Uislamu ni Dini ya dunia nzima. Ni kwa nyakati zote, maeneo yote na watu wote. Ni kamili kama jinsi imemuonyesha mwanadamu njia ya kutimiza haki za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) na haki za waja wa Allah Ta’ala.

Kabla ya mtu kuingia ulimwenguni hadi atakapofariki, Uislamu imeweka sheria na maagizo ambayo wema utapatikana.

Achilia vitendo vya ibada ambavyo ni njia ya kupata kutoka kwenye hazina zisizo na mipaka za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala), Uislamu umemfundisha mwanadamu njia ya kubadilisha hata shughuli zake za kidunia kuwa vitendo vya ibaadah ambayo ataweza kumridhisha Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) na kuwa chanzo cha huruma kwa wanadamu.

Katika ulimwengu huu, kila mtu anahitaji kula, kunywa, kulala, kufanya biashara, kuwa na watu na kutimize mahitaji mengine. Hata hivyo, Kupitia kutekeleza shughuli hizi za kawaida kupitia njia ya Sunnah, mtu ataweza kupata thawabu nyingi na kupata ukaribu wa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’ala) na Mtume wake mpendwa (Sallallahu alaihi wasallam).

About admin

Check Also

Sunna Na Adabu Za Dhul Hijjah 2

3. Jitahidi kufanya ibaadah nyingi iwezekanavyo wakati katika siku kumi za kwanza za dhul hijjah. …