Watu Ambao Dua Zao Zinakubaliwa

Wazazi, Wasafiri na Wenye Kudhulumiwa Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema: “Dua tatu ni kwamba bila shaka zitakubaliwa; Dua ya baba (au mama kwa mtoto wao), Dua ya musaafir (msafiri) na dua ya mwenye kudhulumiwa.”[1] Mwenye Kufunga Na Imaamu Muadilifu Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah …

Soma Zaidi »

Uadilifu Wa Ali (radhiya allaahu ‘anhu)

Ali bin Rabi’ah anasimulia kwamba wakati mmoja, Ja’dah bin Hubairah (radhiya allaahu ‘anhu) alikuja kwa Ali (radhiya allaahu ‘anhu) na akasema, “Ewe Ameer-ul-Mu’mineen! Tunakuta watu wawili wanakujia (na ugomvi wao). Moja kati ya hao wawili wewe ni kipenzi zaidi kwake kuliko hata familia yake na mali yake, alafu yule mwingine …

Soma Zaidi »

Mapenzi Ya Dhati Ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) Kwa Ali (radhiya allaahu ‘anhu)

Ali (radhiya allaahu ‘anhu) anaripoti: Kuna wakati moja, nilikuwa mgonjwa. Nikiwa mgonjwa, Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alikuja kunitembelea. Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alipoingia nyumbani kwangu, nilikuwa nimejilaza. Aliponiona niko katika hali hio, Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alinikaribia na kuvua kitamba aliyokuwa ameivaa kisha akanifunika nacho. Baada ya hapo, alipoona udhaifu …

Soma Zaidi »

Ushujaa Wa Ali (radhiyallahu ‘anhu) Katika Vita Vya Khaibar

Katika tukio la Khaibar, baada ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kukabidhi bendera ya Uislamu kwa Ali (radhiya allaahu anhu), Ali (radhiyallahu anhu) aliliongoza jeshi la Maswahaabah (radhiyallahu anhu) hadi kwenye ngome ya Qamoos. Walipokaribia ngome, shujaa mmoja wa kiyahudi, jina lake Marhab, alitoka ili kuwapinga (waislamu). Marhab alikuwa shujaa maarufu …

Soma Zaidi »

Hofu Ya Ali (radhiya allaahu ‘anhu) Na Akhera

Kumail ibn Ziyad (rahimahullah) anaripoti yafuatayo: Wakati mmoja, nilifuatana na Ali (radhiya allaahu ‘anhu) alipokuwa akitoka katika mji wa Kufah na kuelekea Jabbaan (kijiji nje ya Kufah). Alipofika Jabbaan, Ali (radhiya allaahu ‘anhu) aligeuka kuelekea makaburini na akaita, “Enyi wakazi wa makaburini! Enyi watu ambao miili yenu imeoza! Enyi watu …

Soma Zaidi »

Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) Amemchagua Ali (radhiya allaahu ‘anhu) Kuisimamia Madinah Munawwarah

Katika tukio la Vita vya Tabook, wakati Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alipokuwa anaondoka kutoka Madinah Munawwarah, alimchagua Ali (radhiya allaahu ‘anhu) kusimamia mambo ya Madinah Munawwarah akiwa hayupo. Kwa hiyo, kwa maelekezo ya Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam), Ali (radhiya allaahu ‘anhu) hakutoka na jeshi, bali alibakia Madinah Munawwarah. Baada ya …

Soma Zaidi »

Tafseer Ya Surah Falaq Na Surah Naas

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ الْفَلَقِ ‎﴿١﴾‏ مِن شَرِّ مَا خَلَقَ ‎﴿٢﴾‏ وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ ‎﴿٣﴾‏ وَمِن شَرِّ النَّفَّاثَاتِ فِي الْعُقَدِ ‎﴿٤﴾‏ وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ ‎﴿٥﴾‏ Sema (Ewe Muhammad (sallallahu ‘alaihi wasallam): Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko, na shari ya kila alichokiumba, na shari ya giza (la usiku) linapoingia, na shari ya …

Soma Zaidi »

Fadhila za Dua

Malaika Akimuombea Dua Anayemuombea Ndugu Yake Dua Abud Dardaa (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alikuwa akisema: “Dua anayoifanya Muislamu kwa ajili ya ndugu yake wakati hayupo inakubaliwa. Kila anapoomba dua kwa ajili ya wema ya ndugu yake, kuna Malaika ambaye amechaguliwa kusimama kichwani kwake. Malaika huyo husema …

Soma Zaidi »