Miongoni mwa fadhila za thamani za Allah Ta’ala juu ya mwanadamu ni fadhila ya watoto. Fadhila za watoto ni miongoni mwa neema maalum za Allah Ta’ala zilizotajwa katika Quraan Majeed. Allah Ta’ala anasema: وَاللَّهُ جَعَلَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَاجًا وَجَعَلَ لَكُم مِّنْ أَزْوَاجِكُم بَنِينَ وَحَفَدَةً وَرَزَقَكُم مِّنَ الطَّيِّبَاتِ ۚ Allah Ta’ala …
Soma Zaidi »Ukarimu Mkubwa wa Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu)
Mke wa Talhah (rahdiyallahu ‘anhu), Su’da bint ‘Awf al-Muriyyah alitaja tukio lifuatalo kuhusu mumewe Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu): “Siku moja, Talhah aliingia nyumbani katika hali ya dhiki. Nilipoona hali hii, nilimwambia, ‘Kwa nini ninakuona ukiwa na huzuni? Kuna nini? Je! nilifanya jambo ambalo limekuuzi hadi nakuona ukiwa umefadhaika? Tafadhali niambie …
Soma Zaidi »Urithi Ya Watoto Wachamungu
Baba yake Nabii Yunus (alaihis salaam) alikuwa mtu mchamungu akiitwa Mattaa. Yeye na mkewe, kwa muda mrefu, walitamani kwamba Allah Ta’ala Awajaalie mtoto wa kiume na amweke kuwa Nabii wa Bani Israa’il. Miaka mingi ilipita, huku wakiendelea kuomba dua, mpaka hatimaye, waliamua kwenda kwenye chemchemi iliyobarikiwa ya Nabii Ayyoob (alaihis …
Soma Zaidi »Kupokea jina la Al-Fayyadh kutoka kwa Mtume (Sallallahu alaihi wasallam)
Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) alimpa Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu) cheo cha Talhah Al-Fayyaadh (mtu mkarimu sana) mara kadhaa. Ifuatayo ni tukio moja kama hilo: Wakati wa vita vya Zi Qarad, Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) alipita karibu na kisima cha Baisaan. Maji ya kisima hiki yalijulikana kuwa machungu. Mtume (Sallallahu alaihi …
Soma Zaidi »Dalili Za Qiyaamah 3
Dalili Ndogo Kuongezeka Kabla ya Dalili Kubwa Wakati wa kuzitazama dalili ndogo za Qiyamah zilizoandikwa katika Hadith, mtu hutambua kwamba ni kichocheo cha kuja kwa dalili kubwa. Kwa hivyo, kwa kweli, dalili ndogo zitaongezeka kwa wingi, hadi mwishoni zitafikia kilele kwa kuja kwa dalili kubwa. Katika hadith fulani, Rasulullah (Sallallahu …
Soma Zaidi »Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu) Akitimiza Ahadi Yake
Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu) anaripoti: Maswahaabah (Radhiya Allaahu ‘anhum) siku moja walimwambia bedui mmoja, “Nenda ukaulizie kutoka kwa Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) kuhusu nani Allah Ta’ala Anayemkusudia (katika Aya ifuatayo ya Qur’an Majeed) “Miongoni mwao (Maswahaba) wapo waliotimiza ahadi zao (kwa Allah Ta’ala wa kubaki imara kwenye uwanja wa vita …
Soma Zaidi »Fadhila za Jumu’ah 2
Siku Ambayo Ina Muda Maalum wa Kukubalika Anas bin Maalik (radhiyallahu anhu) anaripoti: Siku ya Jumu’ah iliwasilishwa kwa Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam). Jibreel (alaihis salaam) alikuja kwa Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam). Katika kiganja chake kulikuwa na kitu kinachofanana na kioo cheupe, na katikati ya kioo kulikuwa na doa jeusi. Mtume …
Soma Zaidi »Talhah (Radhiyallahu ‘anhu) katika Vita vya Uhud
Jaabir bin Abdillah (Radhiya Allaahu ‘anhu) anasimulia: Siku ya Uhud, Maswahaba walipoanza kukimbia kutoka kwenye uwanja wa vita, Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) aliachwa peke yake mahali fulani na maswahaabah kumi na mbili tu waliokuwepo pamoja naye. Miongoni mwa maswahaabah kumi na mbili alikuwepo Talhah ibn Ubaydillah (Radhiya Allaahu ‘anhu). Wakati …
Soma Zaidi »Uislamu wa Talha bin Ubaidillah (Radhiya Allaahu ‘anhu)
Siku ambayo Abu Bakr Siddeeq (Radhiya Allaahu ‘anhu) aliposilimu, alianza kuwalingania watu kwenye Uislamu. Allah Ta’ala alimfanya kuwa sababu ya Maswahaabah (Radhiya Allaahu ‘anhum) wengi kuingia katika Uislamu. Miongoni mwa maswahaabah waliosilimu kupitia kwa Abu Bakr Siddiq (Radhiya Allaahu ‘anhu) ni Talhah bin Ubaidillah (Radhiyallahu ‘anhu). Talhah (Radhiya Allaahu ‘anhu) …
Soma Zaidi »Dalili Za Qiyaamah 2
Makusudio ya Kubainisha Alama za Qiyaamah kwa Ummah Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) ameufahamisha Ummah dalili nyingi ndogo ndogo na kubwa zitakazojitokeza kabla ya Qiyaamah. Dalili nyingi ndogo tayari zimeshuhudiwa katika karne zilizopita, na pia dalili nyingi hizi zikishuhudiwa leo. Aalim na Muhaddiyth mkubwa, ‘Allaamah Qurtubi (Rahimahullah), ametaja sababu mbili za …
Soma Zaidi »