Katika Hadith, Rasulullah (sallallaahu ‘alaihi wasallam) ameeleza kwamba Ummah wake utaingia Jannah kabla ya Ummah wote wengine, na katika Ummah wake wote, Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) atakuwa mtu wa kwanza baada yake kuingia Jannah. Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) akasema: “Jibreel (‘Alayhis Salaam) alikuja mbele yangu, akanichukua kwa mkono na …
Soma Zaidi »Miaka Thamanini ya Kusamehewa madhambi, na Miaka Thamanini ya Ibaadah Inarikodiwa kwa kumswalia Nabii wa Allah Mara Thamanini kwenye siku ya Ijumaa
عن أبي هريرة رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: من صلى صلاة العصر من يوم الجمعة فقال قبل أن يقوم من مكانه اللهم صل على محمد النبي الأمي وعلى آله وسلم تسليما غفرت له ذنوب ثمانين عاما وكتبت له عبادة ثمانين سنة (القول البديع صـ …
Soma Zaidi »Kusoma Quraan Takatifu
Allah Ta’ala amebariki Umma wa Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) na bahari isiyo na mwisho. Bahari hii imejaa na lulu, zumaridi, na marijani (Aina tofauti za majiwe ya thamani). Kwa kadri mtu atakavyochota kutoka kwenye bahari hii, ndivyo mtu atafaidika zaidi. Bahari hii haitoisha kamwe bali itaendelea kubariki mtu katika dunia …
Soma Zaidi »Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) akiwa tayari kutoa kila kitu kwa ajili ya Rasulullah (Sallallahu’alaihi wasallam)
Wakati wa vita vya Badr, mtoto wa Abu Bakr Siddeeq (radhiya Allaahu ‘anhu), Abdur Rahmaan (Radhiyallahu ‘anhu), alipigana upande wa makafiri kwa vile alikuwa bado hajaukubali Uislamu. Baadaye, baada ya kusilimu, akiwa amekaa pamoja na baba yake, Abu Bakr Siddeeq (Radhiya Allaahu ‘anhu), alisema, “Ewe baba yangu kipenzi, wakati wa …
Soma Zaidi »Chanzo cha nuru siku ya Qiyaama
عن ابن عمر رضي الله عنهما قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم زينوا مجالسكم بالصلاة علي فإن صلاتكم علي نور لكم يوم القيامة (الفردوس بمأثور الخطاب، الرقم: ٣٣٣٠، وإسناده ضعيف كما في القول البديع صـ ٢٧٨) Ibnu umar (radhiyallahu anhuma) ameripoti kwamba Nabii wa allah (sallallahu alaih wasallam) …
Soma Zaidi »Rakaa ya pili
1. Unapoinuka kutoka kwenye sajdah, kwanza inua paji la uso na pua, kisha viganja na mwisho magoti. 2. Ukiwa unasimama kwa ajili ya rakaa ya pili, chukua usaidizi kutoka ardhini kwa kuweka mikono yako miwili juu yake.[1] 3. Tekeleza rakaa ya pili kama kawaida (isipokuwa Dua-ul Istiftaah).[2] Qa’dah na Salaam …
Soma Zaidi »Mapenzi ya Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) Yanaendana na Mapenzi ya Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)
Baada ya baba yake Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) kusilimu, Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) alizungumza na Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) akisema: “Nakula kiapo kwa Yule aliye kuusieni haki! Ingawa nina furaha sana kuwa baba yangu amesilimu, furaha ambayo ningeipata kama mjomba wako, Abu Taalib, angesilimu, ingekuwa kubwa zaidi kuliko …
Soma Zaidi »Tafseer Ya Surah Quraish
لِإِيلفِ قُرَيْشٍ ﴿١﴾ اِلٰفِهِمْ رِحْلَةَ الشِّتَآءِ وَالصَّيْفِ ﴿٢﴾ فَلْيَعْبُدُوا۟ رَبَّ هٰذَا الْبَيْتِ ﴿٣﴾ الَّذِىٓ أَطْعَمَهُم مِّن جُوْعٍ وَاٰمَنَهُمْ مِّنْ خَوْفِۭ ﴿٤﴾ Kwa ajili ya usalama ya Maquraishi, usalama wanaoufurahia katika safari zao katika miezi ya za baridi na miezi za joto. Wamuabudu Mola wa Nyumba Takatifu (Ka’aba), ambaye amewaruzuku chakula wasipate njaa na anawalinda na …
Soma Zaidi »Abu Bakr (radhiyallahu ‘anhu) Akimhudumia Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam)
Abu Bakr Siddeeq (radhiyallahu ‘anhu) anaeleza kuhusu safari ya Hijrah pamoja na Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam). Tulisafiri kwa haraka mchana na usiku mzima hadi joto la jioni likawa kali. Basi nilikuta barabara ni tupu na hakuna mtu anayetembea juu yake. Nilitazama mbele ili kuona kama ningeweza kupata kivuli chochote …
Soma Zaidi »Jalsah
1. Katika mkao wa jalsah, weka viganja vyako kwenye mapaja yako na vidole vyako karibu na magoti yako.[1] 2. Hakikisha vidole vyako vimeunganishwa.[2] 3. Macho yako yawe yanaangalia kwenye sehemu ya kusujudu ukiwa kwenye jalsah.[3] 4. Weka mguu wa kulia ukiwa umesimama kwa usawa huku vidole vyake vya miguu vikikandamizwa …
Soma Zaidi »