Tafseer ya Surah Zilzaal

Itakapotetemeshwa ardhi kwa mtetemesho wake. Na ardhi itakapotoa mizigo yake yote. Na watu watasema: Kumetokea nini? Siku hiyo itasimulia habari zake zote, kwa sababu Mola wako atakuwa ameiamrisha. Siku hiyo watu watarejea (kutoka mahali pa kuhesabiwa) makundi mbali mbali, ili waonyeshwe (matunda ya) matendo yao meema. Basi anayefanya jambo jema (hata) kwa uzito wa chembe, ataliona. Na anayefanya uovu (hata) kwa uzito wa chembe, atauona.

Soma Zaidi »

Salaa na Salaam ya Ibrahim (‘alahi salaam)

Abdur Rahmaan bin Abi Laila (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti:

Ka’b bin Ujrah (radhiyallahu ‘anhu) aliwahi kukutana nami na kuniuliza, “Je! nikupe zawadi niliyoipata kutoka kwa Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam)? Nilijibu, “Ndiyo, kwa kweli tafadhali nipe hiyo zawadi.” Alisema, "Wakati mmoja, tulimuuliza Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam), ‘Ewe Nabii wa Allah (sallallahu alaihi wasallam), ni Namna gani kukutumia wewe na familia yako salaa na salaam, hakika Allah ta'ala ametufundisha (kupitia kwako) jinsi ya kukutumia salaa na salamu?’” Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) akajibu, “Sema.

Soma Zaidi »

Kumswalia Nabii wa Allah sallallahu alaihi wasallam katika Maeneo ambayo Watu wameghafilika.

Abu Waa’il (rahimahullah) anaeleza, “Sijawahi kumuona Abdullah bin Mas’uud (radhiyallahu ‘anhu) akihudhuria mkusanyiko au mwaliko wowote, isipokuwa tu kwamba angemhimidi na kumtukuza Allah subhaana wata'ala na kumtumia salaa na salaam juu ya Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) Kama ingemlazimu kwenda sokoni, ambako alikuta watu wameghafilika na kumkumbuka Allah ta'ala, basi angemhimidi Allah ta'ala Na kumswalia Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) katika sehemu hizo.”

Soma Zaidi »

Sunna na Adabu za Kuchinja (kwenye siku ya idi kubwa)

1. Kuchinja ni ibaada kubwa na yenye thawabu nyingi katika Dini. Ndani ya Qur-aan Tukufu, kumetajwa kuhusu ibaada ya Kuchinja, na fadhila zake nyingi na umuhimu wake umesisitizwa katika Hadithi ya  Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam). Allah Ta’ala Anasema: لَن يَنَالَ اللَّـهَ لُحُومُهَا وَلَا دِمَاؤُهَا وَلَـٰكِن يَنَالُهُ التَّقْوَىٰ مِنكُمْ Si nyama …

Soma Zaidi »

Sunna Za Msikiti

6. Soma dua za masnoon unapoelekea msikitini. Baadhi ya dua za masnoon ni: Dua ya Kwanza: Mwenye kusoma dua ifuatayo wakati wa kuondoka kwenda msikitini hupata rehema khaas za Allah ta’ala, na Malaika elfu sabini watamuombea dua ya msamaha.[1] اَللّٰهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِحَقِّ السَّائِلِيْنَ عَلَيْكَ وَأَسْأَلُكَ بِحَقِّ مَمْشَايَ هٰذَا فَإِنِّيْ …

Soma Zaidi »

Sunna Za Msikiti

4. Nenda msikitini kwa utulivu na kwa njia ya heshima. Usije mbio msikitini na kukimbia.[1] عن أبي هريرة رضي الله عنه قال سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول إذا أقيمت الصلاة فلا تأتوها تسعون وأتوها تمشون عليكم السكينة فما أدركتم فصلوا وما فاتكم فأتموا (صحيح البخاري، الرقم: 908) …

Soma Zaidi »

Sunna Za Msikiti

1. Vaa vizuri ipasavyo unapokuja msikitini.[1] يٰبَنِىٓ اٰدَمَ خُذُوْا زِينَتَكُمْ عِندَ كُلِّ مَسْجِدٍ Allah subhaana wata’ala Anasema, “Enyi wana wa Aadam, chukueni mapambo wakati wa kuswali katika msikiti.[2] 2. Ondoa harufu mbaya mwilini, kwenye nguo au mdomo wako kabla ya kuingia msikitini mfano baada ya kula vitunguu au kitu chenye …

Soma Zaidi »