Umar (Radhiyallaahu ‘anhu) aliwahi kumwambia Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhu) (mjomba wa Rasulullah sallallahu ‘alaihi wasallam)) “nilikuwa na furaha zaidi na Uislamu waku kuliko Uislamu wa baba yangu, kwa sababu Uislamu wako ulileta furaha zaidi kwa Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) kuliko Uislamu wa baba yangu.” (Sharhu Ma’aanil Aathaar 3/321)
Check Also
Sa’eed bin Zaid (Radhiyallahu ‘Anhu) Akipata Shida na Misukosuko kwa ajili ya Uislamu
Umar (Radhiyallahu ‘Anhu) – mtu ambae jina lake safi ni njia ya heshima kwa Waislamu, …