1. Baada ya adhaan, mtu anatakiwa amswalie nabi wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) na baada ya hapo asome dua ifuatayo:[1] اَللّٰهُمَّ رَبَّ هٰذِهِ الدَّعْوَةِ التَّامَّةِ وَالصَّلَاةِ الْقَائِمَةِ آتِ مُحَمَّدًانِ الْوَسِيْلَةَ وَالْفَضِيْلَةَ وَابْعَثْهُ مَقَامًا مَّحْمُوْدًانِ الَّذِيْ وَعَدْتَّهُ إِنَّكَ لَاتُخْلِفُ الْمِيْعَادْ Ewe Allah, Mola wa wito huu mkamilifu na ulio thibiti Swalaah, …
Soma Zaidi »Kumswalia Nabi wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) Wakati wa Kuamka kwa ajili ya Swala ya Tahajjud.
عن سيدنا عبد الله بن مسعود قال: يضحك الله إلى رجلين رجل لقي العدو وهو على فرس من أمثل خيل أصحابه فانهزموا وثبت فإن قتل استشهد وان بقي فذلك الذي يضحك الله إليه ورجل قام في جوف الليل لا يعلم به أحد فتوضأ فأسبغ الوضوء ثم حمد الله ومجده وصلى …
Soma Zaidi »Kuitikia Adhaan
Adhaan ni miongoni mwa alama kuu za kiislamu. Wakati adhaan ina umuhimu mkubwa katika Dini, basi tunapaswa kuonyesha heshima kwa adhaan kwa kuijibu na kutojishughulisha pindi inapotolewa na mazungumzo yoyote ya kidunia. Fuqahaa wameandika kuwa ndivyo si sahihi kujihusisha na mazungumzo ya kidunia wakati wa adhana.[1] 1. Ukisikia adhaan, jibu …
Soma Zaidi »Kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) katika Swalah na Baada ya Swalah
عن أبي أمامة عن النبي صلى الله عليه وسلم قال: من دعا بهؤلاء الدعوات في دبر كل صلاة مكتوبة حلت له الشفاعة مني يوم القيامة اللهم أعط محمدا الوسيلة واجعله في المصطفين محبته، وفي العالين درجته وفي المقربين داره (المعجم الكبير للطبراني، الرقم: 7926، وفيه مطرح بن يزيد وهو ضعيف …
Soma Zaidi »Namna ya Kutoa Adhaan ya Alfajiri
Ikiwa mtu atatoa Adhaan ya Alfajiri, basi atatoa adhaan kwa namna ile ile iliyoelezwa. Tofauti pekee ni kwamba mtu atasoma maneno yafuatayo mara mbili baada ya kusema حَيَّ عَلٰى الْفَلَاحْ (Hayya ‘alal falaah):[1] اَلصَّلَاةُ خَيْرٌ مِّنَ النَّوْمْ Swalaah ni bora kuliko usingizi. عن محمد بن عبد الملك بن أبي محذورة …
Soma Zaidi »Kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) wakati wa Kuingia na Kutoka Msikitini
عن عبد الملك بن سعيد بن سويد قال سمعت أبا حميد أو أبا أسيد الأنصارى يقول قال رسول الله صلى الله عليه وسلم إذا دخل أحدكم المسجد فليسلم على النبى صلى الله عليه وسلم ثم ليقل اللهم افتح لى أبواب رحمتك فإذا خرج فليقل اللهم إنى أسألك من فضلك. (أبو …
Soma Zaidi »Kusherehekea mwaka mpya
Swali: je inajuzu kutakiana “heri ya mwaka mpya” mwaka mpya wa kiingereza unapoanza? Baadhi ya watu wanasema kwamba sherehe ya mwaka mpya ina maana fulani ya ku kufuru. Je hii ni sahihi? jibu: sherehe ya mwaka mpya ni sherehe ya “kidini” ya makafiri ambayo inahusishwa na imani ya ukafiri na …
Soma Zaidi »Matamshi Sahihi ya Maneno ya Adhaan
Wakati wa kutoa adhaan, mtu ajitahidi kutamka maneno kwa usahihi. Katika suala hili, baadhi ya nukta muhimu kuzikumbuka ni: 1. Wakati wa kusema اَللهُ أَكْبَرَ اللهُ أَكْبَرْ ,herufu ر (Raa) katika أَكْبَرْ (Akbar) ya kwanza itasemwa na fat-hah (ــَـ) (kwa kuiunganisha na neno اللهُ (Allahu). 2. Pindi unapo sema أَشْهَدُ …
Soma Zaidi »Kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) wakati wa Kuingia na Kutoka Msikitini
Faatimah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba wakati Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alikua akiingia msikitini, alikua akituma salaam na baada ya hapo alikuwa akisoma dua ifuatayo:
Ewe Mola wangu, nisamehe dhambi zangu na nifungulie milango ya rehema zako.
Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) pindi anapotoka msikitini, alikuwa akituma salaam na kisha akisoma dua ifuatayo:
Soma Zaidi »Maneno Ya Adhaan.
Kuna aina saba ya misemo katika adhaan. Misemo saba ni hizi zimetajwa hapa chini kwa utaratibu maaluum: 1. Kwanza toa Kwa sauti ya juu: اَللهُ أَكْبَرَ اللهُ أَكْبَرْ Mwenyezi Mungu ndiye mkubwa zaidi, Mwenyezi Mungu ndiye mkubwa zaidi. اَللهُ أَكْبَرَ اللهُ أَكْبَرْ Mwenyezi Mungu ndiye mkubwa zaidi, Mwenyezi Mungu ndiye …
Soma Zaidi »